CVN sports

CVN sports

Share

Health caretaker

18/01/2026

Tutafute hela TBC sio channel ya Mpira 🀣🀣

18/01/2026

Big Day Big Save in Final ⚽

08/10/2024

We huogopi!!!!

YANGA SCβœ…

08/10/2024

Sema ubaya ubwela

Simba SC Tanzania

16/08/2024

Msimbazi wafunga usajili kibabe 🦁🦁πŸ”₯

Acha ligi ianze tu tuone watu wanavyopasuka huko 🀣🀣

Welcome LEONEL ATE A to Simba SC Tanzania

NB: Naambiwa anafunga kulia anatoa assist kushoto


15/08/2024

With Ally Kamwe – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers! πŸŽ‰

02/08/2024

Nyanda mdaka mateso atua msimbazi 🦁🦁πŸ”₯

Wanalunyasi bado hawajamaliza ni mwendo wa kushusha vyuma, ni mwendo wa marasta πŸ™ŒπŸ™Œ Welcome MOUSSA CAMARA to Simba SC Tanzania

NB: Naambiwa amekuja kuzuia mvurugano msimbazi, kipa anadaka mpaka anadaka tena🦁🦁🦁πŸ”₯ Hallaaaa msimbazi


02/08/2024

Wazee wa supu bado wanapambana kujaza uwanjaπŸ”°πŸ”°

Wananchi Leo malizeni kazi bhna muwafunge mdomo wale wazee wa mwituni,🀣🀣

NB: Hakuna chupli chupli WANANCHI. Hallaaaa msimbazi 🦁🦁


01/08/2024

⚽⚽⚽ TUZO ZA TFF 2023-2024 ⚽⚽⚽

1.🌟 Mfungaji bora wa Ligi kuu ya NBC Premier Leagua
βœ…οΈ Stephanie Aziz Ki - Yanga SC

2.🌟Mfungaji bora wa Kombe la CRDB Federation Cup
βœ…οΈ Clement Mzize - Yanga SC

3.🌟 Kocha bora wa msimu kwa wanawake
βœ…οΈ Juma Mgunda - Simba Queen

4.🌟 Kocha Bora wa Msimu kwa Wanaume
βœ…οΈ Migel Gamondi - Yanga SC

5.🌟 Mchezaji bora wa msimu Chipukizi kwa wanawake
βœ…οΈ Ester Maseke - Baobao quees

6.🌟 Mchezaji bora wa msimu Chipukizi kwa Wanaume
βœ…οΈ Shomary Rahmu - KMC

7.🌟 Mwamuzi bora wa msimu Ligi kuu ya Wanawake
βœ…οΈ Amina Kyando

8.🌟Mwamuzi bora wa msimu ligi kuu ya Wanaume
βœ…οΈ Ahmed Arajiga

9.🌟 Golikipa bora wa Ligi ya CRDB Federation Cup
βœ…οΈ Djigui Diara - Yanga SC

10.🌟 Golikipa Bora wa Msimu Ligi kuu ya Wanawake
βœ…οΈ Caloline - Simba SC

11.🌟 Golikipa bora wa msimu Ligi kuu ya Wanaume
βœ…οΈ Ley Matampi - Coatal Union

12.🌟 Beki bora wa Msimu Ligi kuu ya Wanaume NBC
βœ…οΈ Ibrahim Hamad Bacca - Yanga SC

13.🌟 Kiungo Bora wa Msimu Ligi kuu ya Wanaume NBC
βœ…οΈ Stephanie Aziz Ki - Yanga SC

14.🌟 Goli bora la msimu ligi kuu ya NBC premier Leagua
βœ…οΈ Kipre Jr - Azam FC

15.🌟 Mchezaji bora wa kwa Wanawake anayecheza Ligi ya Njee
βœ…οΈ Aisher Masaka - BK Hacken ya Sweden

16.🌟 Tuzo ya Mchezaji bora kwa Wanaume anayecheza Ligi ya Njee
βœ…οΈ Mbwana Ally Samata - PAOK Ya Ugiriki

17.🌟 Mchezaji bora wa NBC Championship
βœ…οΈ Edger William - KN Gold

18.🌟 Mchezaji bora wa CRDB Federation Cup
βœ…οΈ Feisal Saalum Feitoto - Azam FC

19.🌟 Mchezaji bora wa msimu ligi kuu ya Wanawake
βœ…οΈ Aisha Mnuka - Simba Queen

20.🌟 Mchezaji bora wa wa msimu Ligi kuu ya Wanaume
βœ…οΈ Stephanie Aziz Ki - Yanga SC

21.🌟Timu yenye nidhamu ligi kuu NBC wanaume
βœ… Mtibwa sugar

22.🌟Timu yenye nidhamu ligi kuu NBC wanawake
βœ… Bunda queens

23.🌟 Kikosi Bora cha msimu Ligi kuu ya Wanaume
1. Ley Matampi Coastal Union
2. Yao Kwassi - Yanga SC
3. Mohamed Hussein - Simba SC
4. Ibrahim Bacca - Yanga SC
5. Dickson Job - Yanga SC
6. Mudathir Yahya - Yanga SC
7. Maxi Nzengeli - Yanga SC
8. Feisal Saalum - Azam FC
9. Waziri Jr - KMC
10. Ki Aziz - Yanga SC
11. Kipre Jr - Azam FC


31/07/2024

Wenye Timu Yao tayari washamaliza kazi ⚽πŸ”₯πŸ”₯

Wanasimba kwasasa wanasubiri tu tarehe 3 wakaenjoy then wasubiri ubingwa 🦁🦁🦁

NB: hii ndo wanaita UBAYA UBWELA


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam