English Premier League clubz fans in Africa

English Premier League clubz  fans in Africa

Share

welcome football fans from Africa Download Muziki Mpya Bure Kwa urahisi zaidi kila siku

Muigizaji wa Filamu Bongo Rammy Galis Kumpa Mtoto wa Masogange Fungu la Pesa – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Muigizaji wa Filamu Bongo Rammy Galis Kumpa Mtoto wa Masogange Fungu la Pesa

Muigizaji wa Filamu Bongo Rammy Galis Kumpa Mtoto wa Masogange Fungu la Pesa – Habari Mpya Muigizaji wa filamu bongo Rammy Galis ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano na video vixen Agness Gerald aliyefariki hivi karibuni, amekusudia kumpa fungu la pesa Sania mabye ni mtoto wa Agness aliyemuacha, mara baada ya kuzindua filamu yake aliyoigiza naye. Akizungumza na Big Chawa kwenye Planet Bon...

Kesi ya Kina Mbowe na Wenzake yasikilizwa leo…Hicho ndio Kinaendelea – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Kesi ya Kina Mbowe na Wenzake yasikilizwa leo...Hicho ndio Kinaendelea

Kesi ya Kina Mbowe na Wenzake yasikilizwa leo…Hicho ndio Kinaendelea – Habari Mpya KISUTU, DAR: Kesi ya kufanya mikusanyiko isiyo halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA, imeendelea tena leo Mei 15, 2018 Mahakamani hapo – Katika kesi hiyo Mahakama imetupilia mbali ombi la upande wa utetezi la kutaka kesi hiyo kupelekwa Mahakama kuu – Hakimu anayeendesha kesi hiyo, Wilbard M...

Zifahamu Faida 5 za Kununiana na Mpenzi Wako Ndani ya Mahusiano ya Ndoa au Uchumba – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Zifahamu Faida 5 za Kununiana na Mpenzi Wako Ndani ya Mahusiano ya Ndoa au Uchumba

Zifahamu Faida 5 za Kununiana na Mpenzi Wako Ndani ya Mahusiano ya Ndoa au Uchumba – Habari Mpya Mapenzi yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuuangalia kwa jicho pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina cha maji kabla ya kuzamia. Sasa basi, zifuatazo ni faida tano utakazozipata ukiwa umenuniana na mpenzi wako. HUSAIDIA KUPUNGUZA MIGOGORO Ni ukweli u...

Msinione Hivi Mimi Nimewahi Kuwa Chawa wa Barnaba – Benpol Afichua Siri – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Msinione Hivi Mimi Nimewahi Kuwa Chawa wa Barnaba - Benpol Afichua Siri

Msinione Hivi Mimi Nimewahi Kuwa Chawa wa Barnaba – Benpol Afichua Siri – Habari Mpya Msanii wa Muziki wa ‘RNB’ Benpol anayefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Natuliza boli’ amesema amewahi kuwa chawa wa Barnaba kipindi anaanza safari yake ya muziki. Benpol amesema hayo katika kipindi cha E-news kinachorushwa na EATV ambapo amemtaja Barnaba kuwa ni msanii ambaye amekuwa msaada kw...

Mwakyembe awapa changamoto wateule wake – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Mwakyembe awapa changamoto wateule wake

Mwakyembe awapa changamoto wateule wake – Habari Mpya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, amewapa changamoto wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Michezo Malya, ambao amewateua hivi karibuni ya kuhakikisha wanawasaidia vijana wenye ari ya michezo. Mwakayembe ametoa changamoto hiyo kwenye uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika mapema....

Naziona Dalili za Kuachana na Mke Wangu..Kwa Kweli Kwa Hili Siwezi Vumilia – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Naziona Dalili za Kuachana na Mke Wangu..Kwa Kweli Kwa Hili Siwezi Vumilia

Naziona Dalili za Kuachana na Mke Wangu..Kwa Kweli Kwa Hili Siwezi Vumilia – Habari Mpya Ndugu zangu mwenzenu yamenikuta makubwa. Mimi nimeoa nikiwa mtu mzima sana. Tofauti ya umri na mke wangu ni miaka kumi na kenda. Miezi sita ya kwanza ndoa yetu ilikuwa ya furaha sana na hakika nilionja raha majinuni ya ndoa. Baada ya hapo ni mateso makubwa sana. “. Hasikii la mwadhini wala la mtia...

POLISI: Marufuku Kukohoa Pale Unapopishana na Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa, Hilo ni Shambulio la Aibu..Tutakukamata – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - POLISI: Marufuku Kukohoa Pale Unapopishana na Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa, Hilo ni Shambulio la Aibu..Tutakukamata

POLISI: Marufuku Kukohoa Pale Unapopishana na Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa, Hilo ni Shambulio la Aibu..Tutakukamata – Habari Mpya K**a mada inavyojieleza, K**anda mmoja wa polisi amesema ni marufuku kukohoa pale unapopishana au unapomwona mdada/mwanamke mwenye makalio makubwa K**anda huyo amesisitiza kwamba kukohoa huko kutapelekea kukamatwa kwa maana kitendo hicho ni “Shambulio la aibu”

Serikali Yaunda Baraza kuchunguza askari wa Tanzania aliyepotea Congo – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Serikali Yaunda Baraza kuchunguza askari wa Tanzania aliyepotea Congo

Serikali Yaunda Baraza kuchunguza askari wa Tanzania aliyepotea Congo – Habari Mpya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi ameziagiza familia za askari waliouawa wakilinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kumaliza haraka taratibu za mirathi. Pia, amesema Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo amekwisha kuunda Baraza la Uchun...

Nahreel Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Rosa Ree Kutoka Lebo ya The Industry – Habari Mpya 15/05/2018

Habari Mpya Habari Mpya - Nahreel Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Rosa Ree Kutoka Lebo ya The Industry

Nahreel Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Rosa Ree Kutoka Lebo ya The Industry – Habari Mpya Mtangazaji wa Wasafi Kipindi cha Refresh akimuhoji Nahreel kuhusu issue inayo endelea mtaani kuwa The Industry ilikuwa inambania Rosa Ree na Baada ya Kutoka katika Lebo hiyo inaonekana amepata mafanikio zaidi Nahreel amejibu hivi na kuweka mambo sawa : ” Nadhani Rosa Ree Watu Wamemjua Kupitia the ...

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Ubungo
Dar Es Salaam
11000