AYSA

AYSA

Share

Official page for AYSA
The leading S⚽️CCER SCH⚽️⚽️L
Instagram : @avocado_ysa ☎️+255766331909 The leading soccer school

29/05/2026

AYSA 🤝 𝑩𝑨𝑭𝑨𝑵𝑨 𝑩𝑨𝑭𝑨𝑵𝑨 𝑭𝑪 😎

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

29/05/2026

🇵​​🇴​​🇳​​🇬​​🇪​​🇿​​🇮​ 🇹🇿👏🏾

Pongezi kwa mchezaji wetu Abdul Ismail na kwa timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania U17 kwa kuingia hatua ya fainali ya AFCON U17 2026 👏🏾👏🏾👏🏾

Hongera benchi la ufundi kwa kazi nzuri🙌🏾

𝗬𝗔𝗝𝗔𝗬𝗢 𝗬𝗔𝗡𝗔𝗧𝗜𝗔 𝗠𝗢𝗬𝗢🦾

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

Photos from AYSA's post 28/05/2026

𝙋𝙍𝙄𝙉𝘾𝙀 𝙈𝘼𝙏𝙃𝙄𝘼𝙎 ‘’Tactical Goalkeeper’’ 🧤

Kijana kutoka shule ya mpira ndaniya Mashujaa Youth

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

Photos from AYSA's post 28/05/2026

𝗖𝗛𝗔𝗨𝗦𝗔 𝗢𝗠𝗔𝗥𝗬 ‘’Chezo’’

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

26/05/2026

🤝 AYSA

KIPIGO NA MWENDO😎

Omary Chausa ‘’Chezo’’ ⚽️⚽️

𝑶𝑩𝑹𝑰𝑮𝑨𝑫𝑶😎👋🏾

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

Photos from AYSA's post 18/05/2026

𝗔𝗬𝗦𝗔 𝗻𝗱𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝗼𝗺𝗯𝗲 𝗹𝗮 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗤𝗔𝗧𝗔𝗥 🌍

Tumepata muwakilishi kwenye michuano ya kombe la dunia U17 itayofanyika nchini Qatar 2026.

Kijana wetu Abdul Ismail akiwa na kikosi cha timu ya taifa wamefanikisha ushiriki wa nchi yetu 🇹🇿katika kombe la dunia Qatar 2026.

Sisi k**a shule ya mpira tunajivunia kijana wetu kua mmoja wa wahusikia kuiweka historia hii kubwa, Tunawatakia kila la kheri 🙏🏼

Lengo letu k**a akademi/shule ya mpira ni kuibua na kuendeleza vipaji vingi zaidi na kuzilisha timu zetu za taifa.

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

17/05/2026
17/05/2026

𝗔𝗟𝗛𝗔𝗠𝗜𝗦𝗜 𝗛𝗜𝗜 𝗛𝗨𝗦𝗜𝗣𝗔𝗡𝗚𝗘 𝗞𝗨𝗞𝗢𝗦𝗔 - 𝗡𝗷𝗼𝗼 𝘂𝗷𝗶𝗳𝘂𝗻𝘇𝗲 𝗺𝗽𝗶𝗿𝗮 𝗻𝗮 𝘂𝗷𝗶𝘂𝗻𝗴𝗲 𝗻𝗮 𝘀𝗵𝘂𝗹𝗲 𝘆𝗮 𝗺𝗽𝗶𝗿𝗮⚽️

𝐓𝐀𝐑𝐄𝐇𝐄 𝟐𝟏 𝐌𝐄𝐈 ➡️ 𝟐𝟒 𝐌𝐄𝐈 𝟐𝟎𝟐𝟔 ni FURSA kwa vijana wote wa kiume wenye vipaji, Karibuni sana.

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

16/05/2026

𝑯𝑼𝑺𝑺𝑬𝑰𝑵 𝑲𝑨𝑷𝑰𝑮𝑨 🔥

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

16/05/2026

AYSA 🤝 𝙆𝙄𝙊𝙊 𝙁𝘾

NguvuKidogoAkiliNyingi ByFireByForce

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Avocado Street
Dar Es Salaam