Pamba walichezea sharubu za mnyama likawakuta jambo.
Simba Makombe
❤️🦁 Simba Makombe — Sauti ya mashabiki, nyumbani pa soka na makombe.
#SimbaMakombe
14/06/2026
Libase Gueye anafunga goli la pili na kuweka uongozi wa mchezo. Simba 2 Vs 1 Pamba Jiji.
Libaseeeeee Gooooooaaaaal⚽⚽
Simba 2 Vs 1 Pamba Jiji
14/06/2026
Tutqrudi kwa ukubwa kipindi cha pili. Tutashinda msichoke Wanasimba.
Pamba Jiji wanapata goli hapa. Simba 1 Vs 1 Pamba.
14/06/2026
Mwamba ametuinua dakika za mapema hapa KMC Complex.
Mara ya mwisho Pamba Jiji walipigwa 5-1 KMC Complex na leo wanakaribishwa KMC Complex. Unafikiri watapigwa ngapi?
14/06/2026
K**a unaamini tunakwenda kushinda dhidi ya Pamba Jiji weka like na comment kwa kocha Steve Barker tuondoke.🦁💪🏿🔥🎯
Hawa ni wa kupigwa leo k**a ngoma. Kwa sababu wamechangia kutuchelewesha kwenye alama za ubingwa. K**a tungeshinda mchezo WA kwanza tungekuwa na alama za kutufaa sana kwenye mkono wa e***a. Hatupaswi kuwachekea leo kwa namna yoyote Ile.
Simba Vs Pamba Jiji, Mchezo ulianza namna hii.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Address
Dar Es Salaam