24/03/2026
RATIBA YA MECHI ZILIZOBAKI ZA SIMBA
01. TRA Machi 22
02 . Coastal April 02
03. Azam April 05
04. Namungo April 15
05. JKT April 19
06. Prisons April 29
07. Yanga Mei 03
08. Mashujaa Mei 07
09. Coastal Mei 16
10. Dodoma Mei 20
11. Pamba Mei 24
12. Mbeya City Mei 28
13. Mtibwa Juni 11
14. SBS Juni 15
15. KMC Juni 18
16. TRA - ????
RATIBA YA MECHI ZILIZOBAKI ZA YANGA
01. Mtibwa Machi 21
02. Prisons April 04
03. Pamba April 08
04. Mbeya April 16
05. KMC April 19
06. Coastal April 30
07. Simba Mei 03
08. Dodoma Mei 06
09. SBS Mei 15
10. Namungo Mei 19
11. Mashujaa Mei 23
12. Azam Juni 11
13. TRA Juni 15
14. JKT Juni 18
24/03/2026
Nanii katisha apo ebu tuambie mwaga comments zako
08/02/2026
Kuteleza sio kuangukaa ilaa mjue tofaut ya shortcut na long way
EBU NIPE FORMULA
15/12/2025
Hakuna atakimoja kakikamilisha Wana SIMBA tunatakiwa kuwa MAKINI tuskosee tenaaa
07/12/2025
hili ndo tatizo huwez kivunja kiungo uingoze mshambuliaji au ndo umebeti ss tunaumia ww mzgo imeingia na mshaara unaingia
Kwa upuuzi huu unafikir ulikua unawashauri nn makocha wakigeni kma sio kuwapotosha
24/11/2025
Mimi k**a mwana Simba kwenye makundi ya cuf champion 🏆 league kufungwa walaaa hakunitoi mchezoni kikubwa niwaombe viongoz wangu kuungana na wanachama wote kwa pamoja tukaitoharishe lupaso ( KWAMKAPA) kwani pale sio buree clear goal 4 mara imegonga BESELA , nnje ya NYAVU mpira umeptia pembeni kidogoooo ma tunayaona magoli tushainuka kushangiliaa afu tunafungwa kizembe tuu huku tumefanyiwa faulo.
WANASIMBA TUNAITAJI NGUVU YA ZIADA NA KUJITOA KWA HALI NA MALI.
Mimi naipenda Simba yangu
Nguvu mojaaa
23/11/2025
Kikosi cha Mnyama.
Taarifa za kila muda kuhusu mchezo zitatolewa kupitia Simba App.
19/10/2025
Kikosi Cha leo
Mungu inarikiii SIMBA
mungu ibariki TANZANIA