Zone Veterans Mbezi Msigani

Zone Veterans Mbezi Msigani

Share

Zone Veterans Ni kikundi cha hiari chenye Lengo la kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijami

25/11/2022

Focus ⚽⚽⚽

07/07/2022

Next game Vs Malambamawili Veterans 10/7.. Uwanja wa Zone Msigani

07/07/2022

Captain Allen akiwa na Bruno Fernandez beki wa mpira, Leo wameingoza Zone Veterans kwenye ushindi wa goli 7-2 dhidi ya ndugu zetu Family Friends.

07/07/2022

07/07/2022

Allen,Manyuka, Danny & Orah ⚽⚽⚽⚽

07/07/2022

Manyuka & Oppa ⚽⚽⚽

20/02/2022

Allen Kinyaiya Teacher amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa week, Allen amefunga goli moja na kutoa pasi mbili za magoli.Kama ilivyo kawaida yetu tumempa zawadi ya pea moja ya viatu k**a chachu ya kuendelea kufanya vizuri.
Hongera Teacher

20/02/2022

Yeesss! Mapema leo tulifanikisha zoezi letu la kila jumapili kuweka miili yetu sawa.Hakika limefanikiwa kwa asilimia mia.Tuwaambie tu wapinzani wetu watakao hitaji mechi na sisi wajipange

Photos from Zone Veterans Mbezi Msigani's post 21/04/2019
Photos from Zone Veterans Mbezi Msigani's post 14/04/2019

Mambo yakizidi kupamba moto kuelekea siku ya pasaka, Mambo kadhaa yaliafikiwa ikiwiemo kumpendekeza mgeni wetu rasmi wa siku hiyo pamoja na kuupokea muhuri wa kikundi na tulihitimisha kwa kupanga bajeti ya ya siku hiyo... Shukurani kwa father Mwita, Mr Maembe, Mwanasheria Deco,Kiungo mkongwe Shiraz,Ollah,John,pamoja na Mzee mwenye location zake Flava..

Photos from Zone Veterans Mbezi Msigani's post 12/04/2019

Mipango,mikakati pamoja na michango juu ya uzinduzi wa jezi zetu mpya zitakazozinduliwa siku ya sikukuu ya pasaka ukiendelea chini ya kiongozi wetu ndugu Shiraz Hamis Mkwizu Jr..

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Zone Mbezi Msigani
Dar Es Salaam
16114