You're missing some details for your Page. Help people discover and learn about your Page by adding more information.
YANGA moyoni mwangu
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YANGA moyoni mwangu, Sports, Dar es Salaam.
habari zenu wanajangwani!@
01/07/2019
KIKOSI CHA STARZ DHIDI YA ALGERIA
01/07/2019
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga Dismas Ten ameteuliwa Kukaimu nafasi ya Katibu Mkuu wa timu hiyo
Aliyekuwa Kaimu Katibu Mkuu Omary Kaya ameondolewa katika nafasi hiyo
Yanga iko kwenye mchakato wa kupata Katibu Mkuu wa kudumu ambapo tayari nafasi hiyo ya kazi imetangazwa
Cameroon ashinde, Ghana ashinde, Mali ashinde, Tunisia au Angola ashinde, Senegal ampige kenya goli zaidi ya 2 na Tz tumpige Algeria kagoli hata kamoja......hapo Tanzania tutaingia moja kwa moja k**a best loser
Lolote linaweza kutokea!@
Daktari wa Taifa Stars Richard Yomba amethibitisha kutokuwepo kwa wachezaji wawili kutokana majeraha.
:
⭕ Kelvin Yondani 🚑
⭕ Aishi Manula 🚑
Misri na Uganda zimefuzu hatua ya 16 Bora.
DR Congo wanasubiri matokeo ya makundi mengine kujua wanafuzu mtoano au wanatolewa kwenye michuano hiyo.
FT: Uganda 0-2 Misri
Zimbabwe 0-4 DR Congo
28/06/2019
Julai 27 2019, Yanga itatambulisha rasmi kikosi chake cha msimu ujao kwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki na timu kutoka nje ya nchi
Klabu ya Horoya Ac ambayo hivi karibuni ilikamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo, imeomba kushiriki
Taarifa zinabainisha kuwa Horoya Ac, mabingwa wa ligi kuu ya Guinea ambao pia watashiriki michuano ya ligi ya mabingwa, wamepanga kucheza michezo kadhaa ya Kimataifa baada ya kumaliza kambi watakayoweka nje ya nchi
Yanga bado haijaweka hadharani timu ambayo watacheza nayo katika kilele cha siku hiyo ya Mwananchi
Leo Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla atazungumza na waandishi wa habari katika Mkutano ambao huenda akabainisha mipango ya timu hiyo kuelekea msimu mpya
Inaelezwa uongozi wa Yanga umeununua mkataba wa mlinda lango Klaus Kindoki ambapo mlinda lango huyo ataondolewa kwenye kikosi cha timu hiyo
Kindoki alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Yanga
Pamoja na usajili wa mlinda lango Farouq Shikalo, presha ya mashabiki wa Yanga nayo inaweza kuwa imechangia kuchukuliwa kwa uamuzi huo
Katika msimu wake wa kwanza Yanga, Kindoki alishindwa kuwashawishi mashabiki kutokana na kiwango chake kutokutabirika
Kuna baadhi ya mechi alicheza vizuri lakini pia kuna mechi 'aliboronga'
Mkufunzi wa makipa wa Yanga Juma Pondamali ni miongoni mwa waliomkosoa mlinda lango huyo, akibainisha kuwa na makosa mengi ikiwa ni pamoja na kutokujiamini awapo langoni
Baada ya kumnasa Shikalo, inaelezwa Yanga pia imemsajili mlinda lango wa Azam Fc aliyekuwa akicheza kwa mkopo Mbao Fc, Metacha Mnata
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam