28/01/2026
caf champions league wiki hii๐ฅ
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KAPU La Michezo, Sports Event, Dar es Salaam.
28/01/2026
caf champions league wiki hii๐ฅ
13/01/2026
๐๐๐๐ ๐๐๐ amefikaโญ๏ธ๐ฆ๐พ
11/01/2026
๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
26/12/2024
๐จ_|| Mchezaji YANNICK BANGALA kupitia mahojiano yake na Azam TV ametaja kikosi bora kwenye ligi kuu ya Tanzania ๐น๐ฟ.
BANGALA AMESEMA KWENYE KIKOSI HICHO YEYE KOCHA๐คฃ๐
KIKOSI BORA CHA YANNICK BANGALA
1.DJIGUI DIARA ๐ฒ๐ฑ
2.LUSAJO MWAIKENDA ๐น๐ฟ
3.MOHAMMED HUSSEIN ๐น๐ฟ
4.FUENTES MINDOZA ๐จ๐ด
5.DICKSON JOB ๐น๐ฟ
6.KHALID AUCHO ๐บ๐ฌ
7.PACOME ZOUZOUA ๐ฎ๐ช
8.FEISAL SALUM ๐น๐ฟ
9.PRINCE DUBE ๐ฟ๐ผ
10.AZIZ KI ๐ง๐ซ
11.GIBRIL SILLAH ๐ฌ๐ฒ
BENCHI
1.IBRAHIM BACCA
2.MAXI NZENGELI
3.SIDIBE
4.FABRICE NGOMA
5.MOUSTAPHA MOHAMMED
KAPU La MichezoKAPU La Michezo
26/12/2024
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kupitia K**ati yake ya Nidhamu, limetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Shirikisho la soka la Guinea (FGF) kufuatia kushindwa kwao na Tanzania katika siku ya mwisho ya mchujo ya kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2025..
Guinea iliangazia ukiukwaji wa taratibu za kiuchezaji kuhusu beki Mtanzania Muhamed Ibrahim Ame, ambaye inadaiwa alicheza na nambari ya jezi ambayo haijaorodheshwa kwenye karatasi rasmi ya mechi.
Shirikisho hilo pia linapanga kukata rufaa kwa mujibu wa kifungu cha 54 hadi 58 cha kanuni za nidhamu za CAF.
Katika mchezo huo wa mwisho,Tanzania iliichapa Guinea bao 1-0 mtanange ambao ulipigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.
KAPU La Michezo
26/12/2024
Vinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Nbc ๐น๐ฟ 2024-25 hadi sasa
๐ฐ๐ช Elvis Rupia: 8๏ธโฃ
๐จ๐ฎ Jean Ahoua: 7๏ธโฃ
๐น๐ฟ Seleman Mwalimu: 6๏ธโฃ
๐ฟ๐ผ Prince Dube: 5๏ธโฃ
๐จ๐ฒ Lionel Ateba: 5๏ธโฃ
๐น๐ฟ Clement Mzize: 5๏ธโฃ
๐บ๐ฌ Peter Lwasa: 5๏ธโฃ
๐น๐ฟ William Edgar: 5๏ธโฃ
Matajiri wa Jiji la Dar es salaam wako wapi?
KAPU La Michezo upKAPU La Michezo
19/12/2024
K**a mshambuliaji wako anafunga magoli ya Penalti Usiongeee kitu, ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ฝ
19/12/2024
MANENO HAYA SIYO MAGENI HAPA MJINI
KAPU La Michezo
๐จ....|| BREAKING
โก๏ธ Tanzania Prisons imesitisha mkataba wa Kocha Mkuu Mbwana Makata kutokana na mwendelezo wa matokeo yasiyoridhisha kwenye Ligi tangu alipopewa majukumu ya kuiongoza timu hiyo ya Jeshi la Magereza.
โก๏ธ Kocha Shaban Kazumba na Shaban Mtupa ndio wataongoza jahazi la Tanzania Prisons kwa sasa wakati mipango ya kupata kocha mwingine ikiendelea.
La Michezo
17/12/2024
๐ ๐๐๐๐๐: Baada ya kukosa tuzo ya Ballon d'Or, Winga wa Real Madrid, Vinicius Jr imeshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA katika hafla ya tuzo hizo inayofanyika mjini Doha, usiku huu.
Utaratibu wa utoaji wa tuzo hiyo umezingatia kura za makocha 196 wa timu za Taifa, manahodha 193 wa timu za Taifa, waandishi wa Habari na mashabiki ambapo kila upande umechangia asilimia 25 za kura zote.
Katika hafla hiyo tuzo ya kocha bora wa mwaka wa FIFA imekwenda kwa Carlo Ancelotti huku Emi Martinez akitwaa tuzo ya golikipa bora wa mwaka (Martinez sasa ametwaa tuzo mbili za FIFA na mbili za Ballon D'or
Vilevile tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa Wanawake imekwenda kwa Aitana Bonmati huku Alejandro Garnacho wa Manchester United akitwaa tuzo ya goli bora la mwaka ( Puskas Award )
KAPU LKAPU La Michezo