Mpira wetu

Mpira wetu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mpira wetu, Sports, Dar, Dar es Salaam.

MPIRA WETU
Nyumbani ya habari zote za soka Tanzania na dunia nzima! 🌍πŸ”₯
Matokeo β€’ Tetesi β€’ Uchambuzi β€’ Transfers β€’ Highlights β€’ Burudani ya Kandanda
Habari zote za mpira sehemu pekee ni hapa

14/05/2026



Mwamba wa Lusaka πŸ‡ΏπŸ‡², Clatous Chota Chama aendelea kuwasha moto ndani ya Simba SC baada ya kuwa nyota wa mchezo kwa mara ya nne mfululizo. πŸ”₯ Kiungo huyo fundi amefunga mabao mawili dhidi ya Mashujaa FC na sasa amefikisha jumla ya magoli 8 kwenye NBC Premier League msimu huu. ⚽⚽
πŸ“Š Goals: 08
🎯 Assists: 04

14/05/2026



Simba SC waondoka na pointi tatu muhimu ugenini baada ya kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Mashujaa FC. πŸ”΄βšͺ
Ni mara ya kwanza kwa Mashujaa FC kupoteza mchezo wa nyumbani msimu huu.
FT: Mashujaa FC 0-3 Simba SC
⚽⚽ Chota Chama
⚽ Suleiman Mwalimu πŸ”₯

13/05/2026



β€˜Unbeaten is over’; πŸ”₯
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mikutano yao kwenye Ligi Kuu ya NBC, Dodoma Jiji wamefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga SC.
FT: Dodoma Jiji 3️⃣-2️⃣ Yanga SC
Dodoma Jiji wameivunja rekodi ya kutowahi kuifunga Yanga na kuhitimisha ubabe wa mabingwa hao kwenye mchezo wa leo uliopigwa kwa ushindani mkubwa.

09/05/2026

KMC Kimeeleweka Yanga SC wanasalia kileleni wakifikisha alama 54 baada ya mechi 22 wakiwa wamecheza mechi moja zaidi ya Mnyama huo akifunga mabao mawili na kutoa asisti moja ikiwa ni mchango wa magoli 12 tangu atue jangwani mwezi Januari.

FT: Yanga SC 3-0 Coastal Union
⚽ 18' Okello
⚽ 62' Okello
⚽ Maxi (πŸ…°οΈ Okello)

08/05/2026

| MATOKEO YA MWISHO
Kwa mara ya kwanza msimu huu wa NBC Premier League, Azam FC imepoteza mechi baada ya kuchapwa mabao 4-1 dhidi ya TRA United. ⚽πŸ”₯
FT: TRA UNITED 4️⃣ - 1️⃣ AZAM FC
Wafungaji wa TRA United:

⚽ Ally Ng'anzi
⚽⚽ Ammy Mapaka
⚽ Ramadhani Chobwedo

Bao la Azam FC: .
⚽ Jephte Kitambala

Matokeo hayo yanafuta rekodi ya kutopoteza ya Azam FC katika ligi msimu huu.

08/05/2026

Kufukuza kocha mwenye rekodi nzuri kuliko makocha wote, mwenye matokeo mazuri kuliko makocha wote, ni ishara kuwa matokeo ya uwanjani mliyopata hayatokani na ubora wa kiufundi.

Anaandika semaji Ahmed Ally .

08/05/2026

NONDO ZA CHISANO

Mimi sifanyi kazi Yanga FM, kwa hiyo usitarajie kila siku nikiwa kwenye kipindi nitasema yanayokufurahisha, kwa sababu mimi sipo Duniani kumridhisha mtu yoyote na hata RIZIQ ninayopata haitegemei kumfurahisha mtu ndio nile.

Ikitokea Timu yoyote imefanya vizuri nitasema na ikitokea nimeona timu yoyote kwenye Ligi imefanya vibaya nitasema bila chuki na uzuri unanijua kwamba mimi sio mwandishi wa kupokea bahasha au kuna haja ya kulieleza hilo kwa upana?

Inawezekana mimi ni miongoni mwa waandishi wachache walioitabiria Yanga itabeba ubingwa msimu huu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Simba, yaani kabla ya michezo 10 ya Ligi kuisha kutokana na ubora walionao, lakini hilo halinifanyi nishindwe kuikosoa inapofanya vibaya.

NO HARD FEELINGS, TRUTH SHALL PREVAIL...

AMEANDIKA CHISANO JR

07/05/2026

RASMI: Simba SC Yahamia KMC Complex kwa Mechi Zilizosalia za Msimu

Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi kuhamia katika Uwanja wa KMC Complex, ambapo sasa itautumia k**a uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizosalia katika msimu huu.Awali, Simba SC ilikuwa ikitumia Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni k**a uwanja wa muda, kabla ya kufanya uamuzi wa kuhamia KMC Complex. Hatua hiyo inalenga kuboresha mazingira ya maandalizi na ushindani wa timu, ili kuhakikisha kikosi kinapata nafasi bora ya kuendelea kupambana katika michezo yake iliyobaki ya msimu.

Mashabiki wa Simba SC wataendelea kushuhudia timu yao ikicheza katika uwanja huo mpya wa muda, wakitarajia matokeo chanya na mafanikio zaidi katika mechi zilizosalia.

07/05/2026

🚨 FAINALI YA KWANZA CAF CONFEDERATION CUP KUPIGWA JUMAMOSI HII! πŸ”₯πŸ†

Jumamosi hii, Mei 9, mechi ya kwanza ya fainali ya inatarajiwa kupigwa kwa ushindani mkubwa. 🌍⚽

watakuwa nyumbani katika dimba la Stade du 5 Juillet (STD 5 Juliet) wakiwakaribisha . πŸ‡©πŸ‡ΏπŸ†šπŸ‡ͺπŸ‡¬

❓ Swali kubwa: Ni USM Alger au Zamalek SC nani ataanza kuonja harufu ya ubingwa kwenye mechi ya kwanza ya fainali? πŸ†πŸ”₯

⚽

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar
Dar Es Salaam
POSTER