Hintay Jr

Hintay Jr

Share

Kwa Habari zote za michezo kitaifa na kimataifa Like Au Follow Page hii.

08/11/2023

YANGA INAPIGA TU, YAIBUTUA COASTAL GOLI 1-0

imeifunga goli 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani Mkoani kwa goli la Clement Mzize aliyefunga katika dakika ya 70

Yanga imeendelea kuongoza Msimamo wa Ligi kwa kufikisha pointi 24 ikiwa ni siku chache tangu ilipoifunga magoli 5-1

Mchezo huo wa Tanga ulikuwa na ushindani mkali na kushuhudiwa jumla ya kadi za Njano 12 zikitolewa, 7 kwa Coastal na 5 kwa Yanga.

01/11/2023

Maboresho ya kikosi cha Simba kwa jinsi nilivyoiona dhidi ya Al ahly,usajili kwa nafasi zote nilizoziona wanahitajika watu wenye kasi kubwa na kiwango kikubwa cha mpira

𝐍𝐚𝐦𝐛𝐚 𝟏𝟎
anahitajika kiungo mwingine mwenye kasi kubwa na anaeujua mpira

𝐍𝐚𝐦𝐛𝐚 𝟏𝟏
anahitajika winga ya kushoto ya Maana,mwenye kasi na uwezo mkubwa wa kuwapunguza mabeki,mlimuona reda slim yule dogo wa Al ahly aliyetufunga goli la kwanza kwa Mkapa?

𝐍𝐚𝐦𝐛𝐚 𝟕
k**a ilivyo kwa winga ya kushoto pia winga ya kulia sifa ziwe zile zile za winga ya kushoto,Precy Tau alitupa somo kubwa winga ya kulia

𝐍𝐚𝐦𝐛𝐚 𝟖
anahitajika kiungo mnyumbulifu na anaetumia miguu yote miwili kwa ufasaha na anaejua boli hasa

Ruksa na wewe kutoa mawazo yako kuboresha pale ulipoona mapungufu yako kwa Simba
🤍♥️

19/04/2021

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini imeandaa ofa ya dola 350,000 (Zaidi ya milioni 800 za kitanzania) ili kumsajili golikipa namba moja wa klabu ya Simba na Taifa Stars, Aishi Manula. Mamelodi wanatarajia kumsajili Manula ili kuwa mbadala wa muda mrefu wa golikipa Dennis Onyango wa Uganda. Kwa Simba SC , thamani ya golikipa huyo ni 2.5 Billions Tsh. Hivyo kuna uwezekano mkubwa matajiri hao wa South Afrika wakagonga mwamba endapo hawataongeza dau lao.

05/04/2021

Kocha wa Simba SC Tanzania Dodier Gomez Da Rosa amesema anatamani kutumia kikosi chake bora kucheza na Al ahly wakiwa kwao ili kudhibitisha kuwa Simba ni klabu bora Afrika

"Ninataka kutumia Kikosi changu Bora kucheza dhidi ya Al Ahly wakiwa nyumbani kwao. Sisi ni Klabu kubwa Afrika na inatakiwa kuthibitisha Hilo tukiwa Cairo dhidi ya Al Ahly. Kwa sasa sisi ni Moja ya Vilabu vikubwa sana Afrika, tunafuraha kwa sasa,"

Didier Gomea Da Rosa
-Kocha mkuu Simba SC

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam