Crescentius Magori ameweka wazi kuwa kadi mpya za wanachama wa Simba ni za kisasa zaidi,
Goal255
Home for all football related posts and content
βKesho ni kazi moja tu! πͺβ½ Hakuna mechi rahisi kwenye Ligi Kuu. Tunawaheshimu KMC lakini tumejipanga, tuko tayari kupambana hadi dakika ya mwisho.
Mashabiki waendelee kuwa nasi β nguvu yenu ni silaha yetu! π€π€ π£Duchu
πΉπΏ
Gamondi kabaki kusaini Stars πΉπΏβ½
Serikali imemuidhinisha Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars baada ya mafanikio yake kwenye AFCON 2025 Morocco, ambako aliifikisha timu hatua ya 16 bora.
Waziri Paul Makonda amesema kilichobaki ni Gamondi kusaini mkataba, huku Serikali na TFF zikithibitisha kuwa zitaendelea naye na malipo yatasimamiwa na Serikali, kuelekea maandalizi ya AFCON 2027.
πΉπΏ
08/02/2026
Kombe la Shirikisho Afrika linaendelea leo π₯
Mwakilishi wetu wa mwisho πΉπΏ Singida Black Stars wanashuka dimbani pale New Amaan Complex, Zanzibar kuivaa CR Belouizdad.
Ni mechi ya kipekee huku kocha Sead ramovik akishuka kwenye uwanja anaoujua vyema, pamoja na ongezeko jipya Jean Charles Ahoua aliyesajiliwa kuleta tofauti.
β° Saa 1 usiku
βοΈ Dakika 90 za moto β tutajua nani mbabe! πͺπ₯
Maona ya shabiki wa simba mandala baada ya yanga kufungwa na as far rabat
πΉπΏ
07/02/2026
π― MNAYMA LEO DIMBANI!
Leo ni kazi moja tu π₯ Simba SC anashuka dimbani kuikabili Petro de Luanda pale EstΓ‘dio 11 de Novembro, saa 1:00 usiku β°
Hesabu zinaweza kuwa zimeisha, lakini heshima bado ipo mezani. Kinachosakwa leo ni kuonyesha kuwa Simba bado ni GIANT π¦
Na hata k**a ni kuaga, basi iwe ni kuaga kwa ubabe, kwa mapambano ya kweli, na kwa ujumbe mzito: Simba haichezewi β hata ugenini! πͺπ₯
π Tunawatakia ushindi wawakilishi wetu wa Tanzania πΉπΏ, Klabu ya Simba.
07/02/2026
π¨ YANGA LEO DIMBANI CAF CL
Yanga leo inashuka dimbani kuikabili AS FAR Rabat katika michuano ya CAF Champions League, mchezo utakaopigwa Uwanja wa Stade Olympique de Rabat β Morocco, saa 4:00 kamili usiku.
Kila timu inahitaji alama 3 kujiweka salama.
Leo ni kufa au kupona ndani ya dakika 90 β chochote chaweza kutokea.
β¨ Kila la heri, tunawatakia ushindi wawakilishi wetu wa Tanzania πΉπΏ Yanga ππβ½
πͺπͺπ°π°π
07/02/2026
π¨ GSM AWEKA BIL 1 MEZANI
Taarifa kutoka ndani ya Yanga ni kwamba Bilionea wao Ghalib Said Mohamed βGSMβ ameamua kuweka mzigo mezani wa Sh bilioni moja tu k**a watashinda mchezo wa leo dhidi ya AS FAR Rabat.
K**a wakishinda tu basi hamnahamna kila staa ataondoka na sio chini ya Sh40-50 milioni.
Cc
πͺπͺπ°π°π πΉπΏ
Msemaji mkuu wa simba Ahmed Ally akielezea kuelekea mchezo wa CAF Champions League leo dhidi ya petro AtlΓ©tico utaopigwa saa moja ucku wa leo
πΉπΏ
πΆπ¦ TUNDAMAN AWAJIBU WANASIMBA
Msanii wa muziki na shabiki wa damu wa Simba SC, Tundaman, ameibuka na msimamo wake kuhusu mashabiki wanaotaka MO aondoke Simba.
Kwa mujibu wa Tundaman, MO amekuwa mhimili muhimu wa mafanikio ya Simba kwa miaka ya hivi karibuni, hivyo suluhisho si kumfukuza bali kusimama pamoja k**a familia ya Simba.
πΉπΏ
06/02/2026
Mkataba wa Kibu Denis na Simba SC ukitarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu, taarifa mpya zinaeleza kuwa muda wowote kuanzia sasa klabu hiyo itakamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji huyo kwenda Al-Nasr ya Libya.
Inadaiwa klabu hiyo ya Libya imewasilisha dau la dola 300,000 (takribani Sh milioni 770 za Kitanzania), ambapo kwa sasa kinachoendelea ni kukamilisha hatua za mwisho za dili hilo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam