12/07/2026
Dar Jogging Club ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Dar jogging club established officially 20th June 2002.
The club Founders are Samia Hujjat, Ramadhan Namkoveka, Abdulkadri Omary, Abdul Mushi, Saidi Lingamba, Pili Salehe, Selemani Ndambwe, Ahmed Ismail Ruhumba and Pili Nyamkili.
12/07/2026
Dar Jogging Club ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
11/07/2026
Dar Jogging Club Zuu Drama Quety Faa Shuu Pendapenda Jey Fey Iddy Boy Classic
07/07/2026
: ๐๐ฒ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ธ๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐บ๐ ๐ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ๐ธ๐ถ ๐ป๐ฑ๐๐ด๐ Muharram Othmani ๐ถ๐ธ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ถ๐ธ๐ ๐ป๐๐๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐๐ฒ๐น๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ๐ธ๐ผ ๐ธ๐ถ๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ถ๐พ.
:
Sixbetus Silas Issa Makwali Quety Faa Zuu Drama Amina Yunuc Dee Princes Muharram Othmani Dar Jogging Club
28/06/2026
........
@
19/06/2026
๐โโ๏ธ๐ DAR JOGGING CLUB โ MIAKA 24 YA AFYA, UMOJA NA MAFANIKIO ๐๐โโ๏ธ
=Leo tunajivunia kusherehekea miaka 24 tangu kuanzishwa kwa klabu yetu mnamo Terehe 20/06/2002. Safari ya miaka 24 imejengwa juu ya misingi ya afya bora๐ช, mshikamano๐ค, nidhamu๐, urafiki na kujitolea kwa wanachama wote ambao wameifanya klabu hii kuwa zaidi ya ya mazoeziโimekuwa familia๐ซ.
=Katika miaka hii yote, tumekimbia pamoja, tumefundishana, tumetiana moyo na kushirikiana katika kujenga jamii yenye afya na nguvu. Kila hatua tuliyopiga imeacha alama ya mafanikio, na kila mwanachama amekuwa sehemu muhimu ya historia hii adhimu.
=Tunatoa shukrani za dhati kwa waanzilishi, viongozi wa zamani na wa sasa, wanachama, wadau na wote waliochangia ukuaji na maendeleo ya Dar Jogging kwa kipindi chote cha miaka 24. Mchango wenu ndio ulioifanya ndoto hii kuwa uhalisia.
Tunapoadhimisha miaka 24 leo, tunaahidi kuendelea kuhamasisha afya, umoja na maisha bora kwa jamii. Historia yetu ni fahari yetu, na mustakabali wetu ni mkubwa zaidi.
๐ HAPPY ANNIVERSARY ๐
Temeke Jogging
| Monday | 15:00 - 18:00 |
| Wednesday | 15:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |