MEA on fire.... This Monday...
Maboma Company
Maboma Company is Tanzanian company established and registered under BRELLA. Some of our core activities includes;
1.
Marketing in general
2.Provide technical support and mentorship for various business ventures for sole proprietorships, partnerships, companies and other community groups.
3.Publications and media units
4. Running various businesses
5.Conduct Entrepreneurship trainings with local and international standards (ILO Standards)
The best .. We are the best...
Habarini waja mlionuia kuitafuta pesa Kwa matokeo makubwa.. Napenda kutumia fursa hii kuitambulisha rasmi kwenu, centre ya kisasa kabisa ya WAJASIRIAMALI na wenzetu wenye msukumo/wanaowiwa kuingia katika sekta Bora kabisa ya UJASIRIAMALI.
Centre hii inaitwa MEA, Inaendeshwa Kwa mfumo Wa darasa LA watu wasiozidi Arobaini (40). IPO Dar es salaam Tabata Bima.
NANI ANAFAA KUJIUNGA?
1. Mwenye BIASHARA inayoonesha kuyumba Kwa namna yoyote ile.
2. Aliyeelemewa na mzigo Mkubwa Wa Madeni ktk BIASHARA yake.
3. Anayetafuta njia ya kuanzisha BIASHARA.
4. Mjasiriamali ambaye BIASHARA yake imefungwa Kwa hofu ya changamoto kadha Wa kadha.
5. Yeyote ambaye uchumi wake umeyumba na hajui nini cha kufanya.
6. N.K.
Darasa litaendeshwa Kwa muda Wa masaa mawili Kwa muda Wa siku tano, kila mtu yuko huru kuchagua aingie darasa LA SAA ngapi kulingana na nafasi yake.
Ada yetu ni nafuu sana ( yani ni sawa na BURE kabisa).
MEA ni kituo kitakachokupa sababu na mbinu za kuendelea mbele ili utimize njozi zako..
Kwa Mawasiliano piga 0717 186 791.. Karibuni sana.. Ukipata ujumbe huu mtumie na mweziyo..
Tunawapenda sana..
Tunaendelea kupokea majina na kufanya usajili Kwa wajasiriamali wanaohitaji huduma za Ujasiriamali k**a vile MAFUNZO, ushauri n.k.. Kila darasa lina wanafunzi wasiozidi Arobaini (40) tu. Ada Tsh Elfu Ishirini tu. Piga 0717186791 Kwa maelezo zaidi..
04/10/2018
We are the best.. Come & experience the training Wonders..
MABOMA Company.. Ni nyumba ya wakufunzi bora Wa Elimu ya Ujasiriamali.. Jiunge na kituo chetu cha MEA- Usiporidhika tutarusha ada yako.. Tuko VIZURI MNO, Njoo ujiunge piga 0717 186 791.. No surrender guys... Mungu atusimamie..
04/10/2018
Maisha huweza wakati mwingine kutafsiriwa k**a mkusanyiko Wa matukio ambayo ambayo mtu hupitia lakini pia haya ndiyo hutengeneza historia yake ( yeye huyu MTU).
Katika Maisha ya utafutaji hasa Kwa muktadha Wa kijasiriamali, tunaamini ili ufanikiwe lazima uwe tayari kupambana na changamoto kadha Wa kadha; nyingine zaweza kuwa nyepesi lakini nyingine zaweza kuwa ngumu, mbaya na zinazokatisha tamaa. Katika Ujasiriamali inabidi uwe TAYARI Kwa MAPAMBANO maana moja ya nguzo KUU ya mjasiriamali anayejitambua ni uwezo Wa kuwa na DHAMIRA ya KWELI ya kutaka kufikia malengo yake iwe mvua liwe jua.
Kwa mantiki hiyo, kila mwenye dhamira yake katika Ujasiriamali KAMWE hawezi kuwa mwepesi kuruhusu ndoto zake ziharibiwe na hivyo kutozifikia. Huenda atalia sana, huenda atasononeshwa sana, huenda atadharauliwa sana lakini kila akikumbuka kisa cha WANEFILI ( Ile mijitu mikubwa inayotisha) atatambua ya kuwa changamoto anazipitia ni sawa na Hiyo mijitu mikubwa inayotisha lakini kumbuka inatisha tu.
Mtafutaji tafuta mafanikio, pambana tu, haya ndiyo Maisha. Kumbuka Duniani kuna watu na VIATU, kuna uliowaona watu kipindi mambo yako yakiwa sawa, lakini haohao wanaweza kugeuka na kuwa mwiba mkali kipindi cha dhiki yako.. Watakusema, watakutangaza, watakucheka na wengine Kwa midomo yao watakwambia jinsi ulivyo mjinga na wao wajanja hata k**a Maisha yao ni ya kuungaunga. Nyani haoni......
Kwa Leo acha tuishie hapa, lakini kumbuka hii ni Tanzaniabya HAPA KAZI TU, tupige kazi hadi kieleweke Kwa unyoofu, kujifunza na Kwa dhamira zaidi..
Karibuni MABOMA Company Kwa huduma za kijasiriamali..
04/10/2018
Karibuni MABOMA Company.. K**a Mungu aishivyo, tunawapenda sana nyote.. Only God knows our promised destination. We better and strong... Huduma murua zitashushwa hapa muda si mrefu.. Barikiweni sana, maana Mungu hajawahi kuwa Binadamu.. Anaweza na atakuwezesha tu ili ufikie maono aliyokuitia...
Karibuni MABOMA Company. Kila siku Mungu amebaki kuwa mwema kwetu ni matumaini yetu Mungu amebaki hivyo kwako pia.
Sisi tupo, MABOMA Company IPO, na maono tuliyobebeshwa tunaamini lazima yatimie ndiyo Mungu aamue vinginevyo.
Tuko imara, tunajifunza vitu vipya kila siku, tukikosea tunajifunza, tukifanikiwa tunarudisha Sifa na utukufu Kwa Mwenyezi Mungu. Kwani Nani k**a Mungu??
Tunatambua kwa kila anayetufahu, haihitaji kumshawishi ili ashuhudie kuwa tuko VIZURI kwenye suala Zima LA ELIMU ya UJASIRIAMALI, Hapa Mungu kawekeza nguvu kwetu. Tunatambua kuwa Kwa nyakati tofauti tumekuwa tukikumbwa na changamoto kadha Wa kadha katika baadhi huduma zetu. Sisi huwa tunazipokea, tunazifanyia kazi, tunajifunza hatimaye tunasonga mbele kwani Ujasiriamali uliokamilika si jambo LA ajabu kukutana na changamoto.
Sisi ni watanzania, watoto Wa Tanzania, tunaipenda Nchi Tanzania na watu wake. Tutasimama kuwasaidia watanzania Kwa kila talanta tuliyonayo hata k**a vikwazo ni vingi. Tunaamini katika msingi Wa 'HAPA KAZI TU' Tutafanya bila kukata tamaa k**a Amir jeshi wetu MKUU, Mhe. raisi Wa Nchi Dr. John Pombe Magufuri, anavyohimiza. Tuko naye tutafanya kazi Kwa manufaa ya kila mnufsika wetu.
MABOMA Company ina vijana wenye vipaji, wana nguvu na ari ya mafaniko halali, tunaahidi kutumia vipawa hivi kuitengeneza Tanzania.
Tunawajaribisha wote, moto wetu Wa kufanya kazi ni mkali na tunakaribisha ushauri toka Kwa yoyote mwenye nia njema na hii Nchi na MAENDELEO ya watu wake, tutapokea na kufanyia kazi..
Huduma zetu zitakuwa zinaoneka kwenye kurasa zetu kila Mara ili twende pamoja.
Karibuni MABOMA Company Kwa huduma BORA zenye kiwango. Mungu ibariki Tanzania, Bariki watu wake HAPA KAZI TU..
MEA ( MABOMA Entrepreneurial Academy.. Located at Tabata Bima, St. Mary's street, Dar es salaam.. Call 0717186791.
We back.. Never pronounce Never.. All are possible... Under the Son, under God...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam