09/08/2026
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) akiongozana Na vionhozi wengine wameipongeza Timu ya Taifa ya Kikapu ya Wavulana chini ya umri wa miaka 16 (U16) baada ya kutwaa ubingwa wa Zone 5 katika mashindano yaliyofanyika
Nairobi, Kenya.
Katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na TBF Jijini Dar es salaam, Rais wa TBF, Hasheem Thabeet pamoja na Katibu Mkuu wa Shirikisho, Mweze Kabinda wamepongeza juhudi na mafanikio ya Vijana hao, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kukuza vipaji na kujenga programu endelevu za Timu za Taifa.
TBF pia imeipongeza Timu ya Taifa ya Wasichana U16 kwa kumaliza
mashindano hayo katika nafasi ya pili.
07/08/2026
05/08/2026
04/08/2026
04/08/2026
02/08/2026
02/08/2026
02/08/2026