Wazo Jogging and sports club

Wazo Jogging and sports club

Share

jogging club

Photos from Wazo Jogging and sports club's post 21/11/2017

K**a kawaida yetu MAZOEZI NI AFYA.....

Photos from Wazo Jogging and sports club's post 30/09/2017

Umoja wa vilabu na mbio za pole kanda ya Kinondoni kaskazini wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja boko..!!

Photos from Wazo Jogging and sports club's post 17/09/2017

Nidhamu, upendo na mshikamano hutufanya tuwe kitu kimoja kila siku.... Mazoezi kwa afya zetu...!!!!

Photos from Wazo Jogging and sports club's post 22/08/2017

Wazo Joggers wakiwa katika mbio za pole(Jogging) na Diwani wa kata ya Kunduchi Mh. Michael Urio katika bonanza la uzinduzi wa umoja wa vilabu vya mbio za pole kanda ya Kinondoni kaskazini lililofanyika tarehe 20/08/2017 viwanja vya Jeshi Kunduchi.

09/08/2017

Happy birthday katibu wetu. Mungu akulinde na akutimizie haja ya moyo wako. Cake 🎂 tunaisubiri na maji yanakuhusu.

Photos 27/05/2017
Photos from Wazo Jogging and sports club's post 16/04/2017

Uongozi wa Wazo Jogging and sports club unawatakia sikukuu njema wote. tusherehekee kwa amani, Tunawapenda wote,

HAPPY EASTER.......

CHEERS!!

Photos 15/03/2017

"AFYA YAKO MTAJI WAKO"

Photos from Wazo Jogging and sports club's post 28/02/2017

Mazoezi na chakula pia eti kazi na dawa.....

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Wazo Hill, Tegeta Off Bagamoyo Road
Dar Es Salaam