Hakika Fertilizer

Hakika Fertilizer

Share

Mbolea Nambari #1 kwa Wakulima Afrika | Kwa ajili ya Kilimo cha | Parachichi | Mpunga | Vitunguu
Tupigie: 0759304941 / 0654415656

Wazalishaji na Wasambazaji wa Mbolea Nambari #1 kwa Wakulima Afrika | Hakika Avocado Organic Fertilizer "Mbolea ya Parachichi" | Hakika Biolime "Chokaa Rutuba ya Asili"

07/01/2026

Job Post

Photos from Hakika Fertilizer's post 25/12/2025

Guavay Company Limited Wishes You Merry Christmas

25/11/2025
23/11/2025

Furahia matokeo ya bidhaa za Hakika ndugu mkulima na muwekezaji.

Photos from Hakika Fertilizer's post 17/11/2025

Mbolea zikipakiwa kwa umakini mkubwa tayari kupelekwa kwa mteja

Photos from Hakika Fertilizer's post 11/11/2025

Wakulima wanafurahia matumizi ya mbolea ya Hakika Biolime, Itumie leo kwa Mavuno bora

Serikali mkoani Njombe imewataka wakulima kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu kwa kuzingatia ushauri wa wataalam wa kilimo, ili kuongeza tija na kulinda afya ya udongo unaoamua hatima ya mavuno yao.

Wito huo umetolewa na Afisa Kilimo wa Mkoa wa Njombe, Wilson Joel, wakati akifungua mafunzo ya kujengewa uwezo kwa wakulima na wasimamizi wa mashamba yaliyolenga matumizi bora ya mbolea, viuatilifu, udhibiti wa magonjwa, na usimamizi wa afya ya udongo.

“Tunasisitiza matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu kwa kufuata ushauri wa wataalam. Ukipanda bila maarifa sahihi, hutapata tija unayotarajia,” alisema Joel.

Kwa upande wake, Azalia William, Afisa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Guavey, wazalishaji wa mbolea za Hakika amesema kampuni hiyo imeandaa mafunzo hayo kutokana na changamoto kubwa ya wakulima kutumia mbolea kinyume na utaratibu wa kitaalamu.

“Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini inakabiliwa na changamoto ya tindikali kwenye udongo. Ni muhimu wakulima wasikilize ushauri wa wataalam, kwani udongo wenye afya ndiyo msingi wa uzalishaji na mmea wenye afya,” alisisitiza Azalia.

Wakulima waliohudhuria mafunzo hayo, akiwemo Eligius Wella na Anamsifu Kalinga, wamesema wamekuwa wakikumbana na changamoto ya kutofahamu aina na kiasi sahihi cha mbolea kinachopaswa kutumika, hivyo mafunzo hayo yamewapa mwanga mpya.

“Tunahitaji mafunzo endelevu k**a haya mara kwa mara, kwani bila uelewa wa matumizi sahihi ya mbolea tunapoteza muda na nguvu zetu mashambani,” alisema Wella.

Takribani wakulima na wasimamizi wa mashamba zaidi ya 100 kutoka mikoa ya Njombe, Ruvuma, Mbeya na Iringa wamekutanishwa mjini Njombe kwa mafunzo hayo, ambayo yanalenga kuandaa mabalozi wa kilimo bora watakaosambaza elimu hii kwa wakulima wengine katika maeneo yao.

✍🏼 @ndambo_17

#ManaraTvUpdate
#ManaraTv 24/10/2025

https://www.instagram.com/reel/DQMDCK8jIb0/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Serikali mkoani Njombe imewataka wakulima kuzingatia matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu kwa kuzingatia ushauri wa wataalam wa kilimo, ili kuongeza tija na kulinda afya ya udongo unaoamua hatima ya mavuno yao. Wito huo umetolewa na Afisa Kilimo wa Mkoa wa Njombe, Wilson Joel, wakati akifungua mafunzo ya kujengewa uwezo kwa wakulima na wasimamizi wa mashamba yaliyolenga matumizi bora ya mbolea, viuatilifu, udhibiti wa magonjwa, na usimamizi wa afya ya udongo. “Tunasisitiza matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu kwa kufuata ushauri wa wataalam. Ukipanda bila maarifa sahihi, hutapata tija unayotarajia,” alisema Joel. Kwa upande wake, Azalia William, Afisa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Guavey, wazalishaji wa mbolea za Hakika amesema kampuni hiyo imeandaa mafunzo hayo kutokana na changamoto kubwa ya wakulima kutumia mbolea kinyume na utaratibu wa kitaalamu. “Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini inakabiliwa na changamoto ya tindikali kwenye udongo. Ni muhimu wakulima wasikilize ushauri wa wataalam, kwani udongo wenye afya ndiyo msingi wa uzalishaji na mmea wenye afya,” alisisitiza Azalia. Wakulima waliohudhuria mafunzo hayo, akiwemo Eligius Wella na Anamsifu Kalinga, wamesema wamekuwa wakikumbana na changamoto ya kutofahamu aina na kiasi sahihi cha mbolea kinachopaswa kutumika, hivyo mafunzo hayo yamewapa mwanga mpya. “Tunahitaji mafunzo endelevu k**a haya mara kwa mara, kwani bila uelewa wa matumizi sahihi ya mbolea tunapoteza muda na nguvu zetu mashambani,” alisema Wella. Takribani wakulima na wasimamizi wa mashamba zaidi ya 100 kutoka mikoa ya Njombe, Ruvuma, Mbeya na Iringa wamekutanishwa mjini Njombe kwa mafunzo hayo, ambayo yanalenga kuandaa mabalozi wa kilimo bora watakaosambaza elimu hii kwa wakulima wengine katika maeneo yao. ✍🏼 @ndambo_17 #ManaraTvUpdate #ManaraTv

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Elite Tower, 9th Floor, Azikiwe Street DSM
Dar Es Salaam
BOX33686