11/05/2026
Watu wengi wanalaumu algorithm wakati settings zao za Instagram hazipo sawa
Kabla hujakata tamaa na growth ya account yako, hakikisha mambo haya 5 yapo vizuri kwanza
MUHIMU
Settings nzuri haziwezi kufanya kazi peke yake unahitaji kujifunza zaidi ya settings
Unahitaj kujifunza mbinu na mikakati sahihi inayofanya kazi kwa biashara yako mtandaoni kwa muongozo zaidi coach wako nipo hapa
Ni setting ipi hukuwa unaijua?
10/05/2026
Usisahau kujipongeza kwa kila hatua unazopiga
kwa kila vikwazo unavyoshinda na kwa upendo unaoutoa kila siku
10/05/2026
Leo ni siku ya mama duniani
Jivunie kuwa mwanamke na mama
Hakuna anayejua ulivyopambana, ulivyovumilia na ulivyoendelea kuwa imara licha ya changamoto
Usiache kujipongeza
Happy Mother’s Day
08/05/2026
Followers wakipungua usipanik
Idadi ya followers ikipungua au miamala ikipungua kipi kinapaswa kukupa stress zaidi?
Relax na kazi iendelee
05/05/2026
Views nyingi zinaweza kukudanganya
Unaona numbers kubwa lakini hakuna
Followers
Wateja
Mauzo
Tatizo sio content yako kuwa mbaya
👉 tatizo ni haijajengwa kuuza ukibadilisha vitu vidogo tu unaweza kubadilisha viewers kuwa wateja
Unakutana na hii changamoto? Dm DIGITAL nikupe muongozo utakaokusaidia zaidi kuongeza wateja