22/08/2026
mzuri wa Mungu. Itakuwa ni ibada moja tuu yenye furaha, shangwe, sifa, kuabudu pamoja na neno la Mungu.
Hakikisha unajiandaa vyema na kualika watu wengine tuje pamoja hemani mwa Bwana.
This is the Kingdom of the Love of God, and our purpose is to unleash the love of God to the world.
The desire to establish a strong Youth Ministry is not a simple question of creating structures and processes for developing young people, it is a matter that addresses the basic nature of human life cycle involving dependence, independence, and interdependence. We all start at dependence levels where we actually depend on others for our survival, through the work of others in us we grow into inde
22/08/2026
mzuri wa Mungu. Itakuwa ni ibada moja tuu yenye furaha, shangwe, sifa, kuabudu pamoja na neno la Mungu.
Hakikisha unajiandaa vyema na kualika watu wengine tuje pamoja hemani mwa Bwana.
15/08/2026
KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI
Mpendwa katika Bwana, tunakukaribisha kwa moyo wa furaha katika ibada yetu ya Jumapili. 🙏✨
Jumapili hii tutakusanyika katika uwepo wa Mungu tukijifunza kuhusu “UPENDO USIO PIMIKA.” ❤️
Ni upendo wa Mungu usio na mipaka, usio na mwisho, na usioweza kupimwa kwa maneno wala kwa matendo ya mwanadamu. Njoo tumwabudu Mungu, tusikilize Neno lake, tuombe pamoja na kujazwa upya na upendo wake.
Usije peke yako—mwalike familia, rafiki na jirani.
Tunatarajia kuwa na wakati wa baraka, sifa, ibada na uwepo wa Mungu.
Karibu sana, wewe ni sehemu muhimu ya ibada hii!
🙏❤️ Mungu akubariki sana.
15/08/2026
WELCOME TO OUR SUNDAY WORSHIP SERVICE!
Dear beloved in Christ, you are warmly welcome to our Sunday Worship Service! 🙏
This Sunday, we will gather in the presence of God under the powerful theme: “UNMEASURABLE LOVE.”
Come and experience the endless, unfailing, and unconditional love of God. Let us worship together, hear His Word, pray together, and be refreshed in His presence.
Don’t come alone—invite your family, friends, and loved ones!
We look forward to sharing a beautiful and blessed time in the presence of the Lord.
You are warmly welcome. Come and experience God’s unmeasurable love! ❤️🙏
13/08/2026
Shalom mtu mzuri wa Mungu, ijumaa hii umepanga kwenda wapi?
Nichukue nafasi hii kukualika kwenye ibada yetu ya Ijumaa itakayo ongozwa na mtumishi wa Mungu baba yetu Rev. Dr. Edward Amri. Njoo na rafiki yako barikiwa sana.
08/08/2026
KARIBU KWENYE IBADA YA BARAKA!
Mpendwa katika Bwana, tunakukaribisha kwa moyo wa upendo kwenye ibada yetu yenye kichwa cha somo:
“KIFUNGO CHA UKAMILIFU”
Ni wakati wa kujifunza Neno la Mungu, kumwabudu Mungu kwa moyo wote, na kujenga maisha yetu katika upendo, umoja, na ukamilifu unaotoka kwa Kristo. 🙏❤️
Usikose ibada hii! Njoo pamoja na familia yako, marafiki na wapendwa wako. Mungu ana jambo maalum kwa ajili yako.
Karibu tuabudu pamoja, tujengwe pamoja, na tukue pamoja katika Kristo! 🙌
KARIBU SANA, BWANA AKUBARIKI!
07/08/2026
Karibu kwenye ibada yetu ya siku ya leo mtu mzuri wa Mungu.Njoo tujifunze kwa pamoja je unafahamu maana halisi ya neno USIWIWE CHOCHOTE?
Mtumishi wa Mungu baba yetu Rev. Dr. Edward Amri atatufundisha inamaana gani. Usije peke yako njoo na rafiki yako. Barikiwa sana🙏
04/08/2026
Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu sana kwa kibali chake alicho tupatia tena, hakika ibada ya siku ya kesho si ya kukosa.
Njoo tumshukuru Mungu kwa pamoja usije peke yako. Mualike na ndugu rafiki tuje kumshukuru Mungu kwa pamoja. 💃💃💃
01/08/2026
Yn 4:23-24 SUV
[23] Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu k**a hao wamwabudu.
[24] Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Karibu kwenye ibada yetu ya jumapili ya kusifu na kuabudu, usipange kukosa.💃💃💃
01/08/2026
John 4:23-24 NKJV
[23] But the hour is coming, and now is, when the true worshipers will worship the Father in spirit and truth; for the Father is seeking such to worship Him.
[24] God is Spirit, and those who worship Him must worship in spirit and truth.”
Welcome to our Sunday service of praise and worship. Don't plan to miss.
29/07/2026
VIJANA EEE HUKU MAMBO YALISHA KUWA MAZURI SANA ,ZIMEBAKI SIKU 3 TU LILE JAMBO LETU TULILOKUWA TUNASUBIRI KWA BASHASHA KUBWA, EBWANA WEEE UNAANZA VIPI KUKOSA? , USISAU TAREHE 1/08/2026 VIJANA WOTE TUKUTANE AKUZAMU INTERNATIONAL CHURCH, BAHARI BEACH ,NJOO NA RAFIKI YAKO NA RAFIKI YAKO AJE NA RAFIKI YAKE.