Mpira Zawaidi Yangu

Mpira Zawaidi Yangu

Share

lengo au biashara ya huu ukurasa mm k**a mm nikujiendeleza na soka ndoto yangu nikucheza club kubwa hapa tz na ninamxhuru mungu kunipa nguvu na uzma

03/01/2019

ukijitambua kwa nafasi ulio nayo na kipaji ulicho nacho nivizuri zaidi ujitume kwanza na ndipo utumiwe kwa nafasi ulio nayo mungu awabariki sana fans wangu woteee

12/02/2018

mpira nikazi na ni ajira pia so inatakiwa uliye bahatika itumie nafasi hiyo na uwainuwe wengine pia asubhi njema

24/01/2018

pamoja x**a ma men

21/01/2018

Asili uchezaji ni kujituma

16/12/2017

Man city yaishushia kipigo cha goal 4-1 spurs kiukweli haishikiki na kocha wao apata tuzo mara tatu na kumufiki antonio konte wa chelsea

22/10/2017

Jana tulikuwa nampambano kati ya itumpi city vs hawimbi mchezo wa nusu fainali hawimbi walfanikiwa kuibuka na ushindi was goal 3-2 tunamuomba mungu atusaidie hata kwa

Photos 20/10/2017

Timu ya itumpi city ilifanikiwa kuibuka na uxhindi wa goli 1 la penati dhidi ya timu ya nsenga

Photos 29/09/2017
24/08/2017

Pamoja x**a wadu

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Ilala
Dar Es Salaam
1