Bongosoka

Bongosoka

Share

Habari zote za soka la bongo na wachezaji wake . Ratiba , matokeo , msimamom wa ligi kuu na wafungaji bora . Pia maisha ya wachezaji na makala utazipata.

MARC Vivien Foe na Jezi ya heshima Man City... - Bongosoka 26/03/2020

Unamkumbuka Marc-vivien Foe ?, heshima yake inadumu Man City .. Tujikumbushe kidogo (soma hapa chini)...

MARC Vivien Foe na Jezi ya heshima Man City... - Bongosoka Dunia inakumbuka huyu mwamba kwa ukabaji wake wakutumia nguvu na akilili, umbo lake lenye misuli mingi iliwapa taabu viungo wengi Soma Zaidi...

MAKAPTENI bora zaidi ktk historia ya ligi ya Uingereza... - Bongosoka 21/03/2020

Ligi ya England imekuwa ni moja kati ya ligi bora na pendwa kutokana na namna ambavyo imekuwa ikifuatiliwa Zaidi na watu wengi ulimwenguni. Ligi hii imetoa makocha bora, wachezaji bora, timu bora na nyuma ya hayo yote huwa kunakuwepo viongozi bora, nadni ya timu tunawagusia Zaidi manahodha. Hawa ndio manahodha bora zaidi ambao wamewahi kuongoza timu zinazoshiriki ligi kuu ya England, maarufu k**a EPL. [ 548 more words ]

MAKAPTENI bora zaidi ktk historia ya ligi ya Uingereza... - Bongosoka Ligi ya England imekuwa ni moja kati ya ligi bora na pendwa kutokana na namna ambavyo imekuwa ikifuatiliwa Zaidi na Soma Zaidi...

MANAHODHA bora zaidi kutokea ligi ya Uingereza... - Bongosoka 21/03/2020

Ligi ya England imekuwa ni moja kati ya ligi bora na pendwa kutokana na namna ambavyo imekuwa ikifuatiliwa Zaidi na watu wengi ulimwenguni. Ligi hii imetoa makocha bora, wachezaji bora, timu bora na nyuma ya hayo yote huwa kunakuwepo viongozi bora, nadni ya timu tunawagusia Zaidi manahodha. Hawa ndio manahodha bora zaidi ambao wamewahi kuongoza timu zinazoshiriki ligi kuu ya England, maarufu k**a EPL. [ 542 more words ]

MANAHODHA bora zaidi kutokea ligi ya Uingereza... - Bongosoka Mnahodha bora EPL. Yupi nahodha wako bora zaidi katika historia ya ligi ya Uingereza ?

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam