03/05/2026
Simba 2 _ 0 young African dkk ya 18
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msema ukweli, Sports, Dar es Salaam.
03/05/2026
Simba 2 _ 0 young African dkk ya 18
14/04/2026
Watanzania wanajiuliza maswali
mengi mwigizaji alimaarufu
anaefahamika Kwa jina la
ebitoke alipotelea wapi
mpaka sasa baadhi ya
watanzania hawaelewi
mwenye kujua atwambie
kwenye comment hapo chiniπ
Follow π Msema ukweli
14/04/2026
Mzee miaka 60 anaesumbuliwa na mapenzi
06/04/2026
Man of the match mpira huu unako elekea ni kubaya sana aise daah Simba ilifaa
atoke na magoli mawili na penalty zote mbili
Follow π Msema ukweli
06/04/2026
Nyota Wa Tanzania Kibu Denis amefunga bao moja akiisaidia timu yake ya Al Nasr kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Tahaddy kwenye mchezo wa Kombe La Libya
Follow π Msema ukweli
Mbeya teari washafika ππ daah watu wa chunya andaeni ndura pin π na rababend
29/03/2026
Ajira hamna please tunaomba mfungwe vijana tupate chochote kitu wazee πΈπΈKila la kheri mkeka wangu π«‘
28/03/2026
FC Barcelona watachukua uamuzi wa kumsajili Victor Osimhen ikiwa watashindwa kukamilisha mkakati wao wa kumpata Julian Alvarez.
Dau la Alvarez ni kubwa na AtlΓ©tico de Madrid hawapo tayari kupunguza.
follow π Msema ukweli
27/03/2026
Achoma nyumba yake kisa mke wake kumtangaza kwa watu kuwa mume wangu anatumia dakika 1 moja kumwaga je nisahihi kuchukua maamuzi ya kuchoma nyumba naomba comment yako hapo chini ππ
Follow π Msema ukweli
27/03/2026
π₯Hizi Adhabu HAPANA Imekuwa too much Uongozi utoke kupinga hili nasi tutaunga mkono ni kweli tumefanya Kosa ila adhabu ya milioni 10 ni uonevu tukifuata mtiririko wa matukio kuanzia Dodoma,Zanzibar na sasa Mwanza kuna tatizo kwenye bodi ya ligi
David Kameta akipigwa faini ya milioni 1 kisa tu kumwagia maji uwanjani ikihisiwa ni ushirikina wakati ni Hali ya kawaida Kisayansi kumwagia maji uwanjani kuzifanya nyasi ziwe na utayari
Simba SC tulipigwa Faini kutotumia vyumba vya kubadilisha nguo wakati tumeonyesha vina matundu bila uchunguzi wowote bodi wakatupiga Faini ya milioni 5
Chupa zimerushwa uwanjani vs Pamba jiji tukiwa Ugenini kwa kusemekana kwamba sisi ndio wahusika wakati Gongowazi walituma mashabiki wao Kule kwenda kuuchezea Ile mechi MACHAWA karibu wote walikuwa Kule wengine walivaa jezi nyekundu wengine walivaa za Pamba jiji
Angalia hiyo adhabu ya Diarra Kwa mujibu wa kanuni Makosa yake yote ni Faini na kusimamishwa ila kwa makusudi Kosa la pili kanuni imepindishwa kwa sababu wanazojua wao
Bodi ya ligi nadhani ni muda Wana Simba tuanze kuruka nayo βοΈ
26/03/2026
Ligi ya tanzania imekuwa yenye ushindani wa hali ya juu sana huwezi chukua point 3 kirahisi rahisi Kwa mpinzani
VAR inatakiwa sana kwenye mpira wa miguu tanzania naamini marefa wakiwa na moyo k**a wa Ahmed arajiga na vibendera wawe haki sawa naamini timu k**a Simba SC na
young African watapoteza sana point kwenye
hii ligi Kwa upande wako unaoneje
Kwa hili naomba comment hapo chin π
Follow π Msema ukweli