Najaribu kuwaza hapa bongo tungekua na players Chant's ingekuwa unyamaa sana ndugu zangu Ally Kamwe Ahmed Ally hili mlifanyie experiment the night is still young msimu ndo kwanza umeanza
Mugisher Talks Sports
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mugisher Talks Sports, Sports, .
📍 MugisherTalksSports - Mahali pa habari, uchambuzi na mijadala ya michezo!
🎙️ Tunazungumza soka, na burudani ya mchezo kila siku!, matokeo, taarifa, na mitazamo bila woga.
🔥 Usiache nyuma, jiunge nasi 👉 Toa maoni, ulike, ushiriki mijadala!
Arsenal tunarudi tena uwanjani leo dhidi ya Manchester city kwenye mchezo wa kufungua ligi (Community Shield) 🇺🇬 🇷🇼️
Ushajiuliza kwanini watu wanaiacheka hii mnayo iita VAR ya bongo- Football Video Support (FVS) bila kujali maamuzi kwenye game ya Yanga na Namungo mchezo wa Azam na Polisi uote imeamuliwa na hii FVS
Hii ni Real Madrid au TP Mazembe 😂😂😂 #
Mpira hautaki hivi
14/08/2026
Tanzania Football Federation Aisee hawa ni Yanga wana confirm Trespassing ama vitendo vya kuingilia,kuchungulia/ Kuvamia kambia ya timu pinzani, kurekodi, wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo dhidi yao. Kuingia kisiri siri kwenye mazoezi na maandalizi ya timu pinzani huchukuliwa kuwa ni uvunjaji wa Kanuni za Nidhamu za FIFA (FIFA Disciplinary Code) na Kanuni za Maadili (FIFA Code of Ethics) chini ya makosa ya "kutenda kinyume na uaminifu" au "kuteremsha thamani na heshima ya mchezo" (bringing the game into disrepute).
Kwenye post yao Yanga wamesema
"Tumeandaa Documentary maalumu ya utambulisho wa Seleman Mwalimu jinsi tulivyomsajili kuanzia tunamtorosha kambini hadi kufanya maandalizi ya utambulisho ila kitu cha pekee tulichokiona kwenye kambi ya wenzetu wanalala sana na kukoroma"
"Documentary hii tutaiandaa vizuri na kuiuza kwenye mitandao maana tumepata tabu sana kumpata mchezaji mkubwa k**a yule, tulitaka kumtambulisha usiku ila tukaona tumtambulishe jogoo anapowika" Ali Kamwe"
Hii inawezekana isiwe na uzito sahivi lakini ukifatilia kesi ya Southampton utajua kwanini wenzetu wanamafanikio na hawacheki na mambo ya hovyo k**a haya 🇹🇿
Ahmed Ally kuna haaja ya kuweka hili tangazo -Wewe k**a mshabiki wa club ya Simba kuna haja yakua makini na mitandao ya sasa mnalishwa vitu negative sana mtoke kwenye reli (Mnapigishwa Shoti)
Hawa ndo viongozi Alex F Ngai wanaoweza kuukomboa mpira wa Tanzania kutoka mikononi mwa Viongozi wa chumia tumboni. Moja kati ya kitu kinachokosekana sasa ni professional leadership
Mambo matano Yakujifunza kutoka kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo Yanga 1-0 Simba
Je kocha Manqoba atapanga hivi kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo na Simba.!?