06/03/2019
When elders sayed "don't play with fire" they meant it ...
♦there through PSG out
Getting dialogues on football progress allover the country
06/03/2019
When elders sayed "don't play with fire" they meant it ...
♦there through PSG out
03/03/2019
Juventus won the game while NAPOLI dominating the match very tiredless
02/03/2019
07/02/2019
Adhabu mpya ndani ya UEFA.
Wachezaji wanaonesha ishara ya kuangalia kwenye TV ya VAR kwa kutumia mikono yao kwenye mashindano ya UEFA wataadhibiwa kwa kadi ya njano , Shirikisho la Soka barani Ulaya limearifu.
UEFA wanataka matumizi ya VAR yawe kamilifu na yasiyoleta marumbano huku maamuzi ya mwisho yaachwe kwa mwamuzi aliopo uwanjani.
Afisa Mkuu wa Waamuzi wa UEFA , Roberto Rosetti ameelezea kuhusu kudumisha utawala wa Mwamuzi na ndio maana anataka adhabu itolewe kwa wachezaji wote wanaonesha ishara hiyo.
"Mchezaji yoyote anayeonesha ishara ya TV ya VAR anatakiwa kuoneshwa kadi ya Njano. Na k**a wachezaji wakimzunguka mwamuzi lazima hatua ya kinidhamu iingilie kati . Tunataka maamuzi yafanyike katika vitendo k**a hivyo."
Rosetti ameongeza kwa kusema kwamba wanataka kuitumia VAR kwa uangalifu sana.
" Hatutaki kuamua mara mbili mbili mechi na kuharibu ladha ya soka kwa kusimamisha mchezo mara tatu au mara nne. Lazima kuwe na picha za wazi kabisa katika kila tukio ."
Kwa kuongeza zaidi Rosetti amewataka waamuzi kufanya maamuzi sahihi kwa kuangalia zaidi TV zilizopembeni ya uwanja tofauti na kusikiliza mtazamo wa watu waliojuu kwenye VAR.
"VAR inatakiwa kuwa k**a Bima tu au k**a parachute tu kwa waamuzi."
30/01/2019
happy b.Lated man
23/10/2018
Dybala made it for Juventus leavng with 3 points
26/11/2017
To all those whom we checked the match yesterday ,to my point if this guy is not serious and continues playing as he did yesterday ... Messi is in for the Baloon D'O next round..
What's your comment sportsman?
"Kwa wale tulio angalia mechi Jana ,Mimi naona Cr7 hayuko makini msimu huu na k**a hata badilia basi Messi ajiandae kuutwaa Balon D'O inayofuata......
Nini maoni yako mwanasoka?
Is AC MILAN able to knock down the AUSTRIA'S today ......???????
16/08/2017
DONE DEAL
27/04/2017
Todays big match
20/03/2017
Kaz kwenu
20/12/2016
Msimamo wa ligi kwa sasa unaona nan atauchukua ubingwa??