14/07/2026
FULL TIME โฐ
France ๐ซ๐ท 0๏ธโฃ โ 2๏ธโฃ Spain ๐ช๐ธ
โฝ Oyarzabal (P)
โฝ๏ธ Porro (๐
ฐ๏ธ Olmo)
โ
Spain wametinga hatua ya Fainali ya Kombe la Dunia 2026.
Mechi za mtoano zilizowakutanisha Lamine Yamal na Mbappe
Spain 2๏ธโฃ โ 1๏ธโฃ France
Barcelona 5๏ธโฃ โ 2๏ธโฃ Real Madrid
Barcelona 3๏ธโฃ โ 2๏ธโฃ Real Madrid
Spain 5๏ธโฃ โ 4๏ธโฃ France
Barcelona 3๏ธโฃ โ 2๏ธโฃ Real Madrid
14/07/2026
Michael Olise dhidi ya Rodri katika dakika 45 za kipindi cha kwanza.
Ilistahili kuwa RED CARD.
14/07/2026
HALF TIME โฐ
France ๐ซ๐ท 0๏ธโฃ โ 1๏ธโฃ Spain ๐ช๐ธ
โฝ Oyarzabal (P)
โ Beki wa kati wa France ๐ซ๐ท William Saliba ameshindwa kuendelea kutokana na kupata majeraha.
Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2026
14/07/2026
Boom ๐ฅ โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
Tumempasua mhindi safi ๐ธ ๐ธ ๐ธ
Bonyeza hapa kujiunga kwenye group letu la mikeka inatolewa bure kabisa
https://whatsapp.com/channel/0029VbD6dAZ72WTrmDiUsb1x
13/07/2026
๐จ Nico Williams kuhusu hatari ya Mbappe kuelekea kwenye mechi ya Nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 dhidi ya France
"Mbappe ni mchezaji mzuri lakini sisi tuna mchezaji bora zaidi duniani ambaye ni Lamine Yamal.
Tulionyesha ubora kwenye mechi mbili za mwisho dhidi ya Ufaransa na tulishinda"
13/07/2026
๐จ Pau Cubarsi:
"Sina hofu na Mbappe, kila mtu anaujua uwezo wake. Anaweza kubadilisha matokeo ya mechi muda wowote.
Ni mchezaji wa kipekee k**a Lamine Yamal. Inabidi uwe macho kwa dakika zote 90.โ
12/07/2026
Boom ๐ฅ โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
Tugawane hizo hela ๐ธ ๐ธ ๐ธ
Bonyeza hapa kujiunga kwenye group letu la mikeka inatolewa bure kabisa
https://whatsapp.com/channel/0029VbD6dAZ72WTrmDiUsb1x
12/07/2026
Erling Haaland:
โReal Madrid na Uingereza wana bahati ya kuwa na Jude Bellingham, kila mtu anamtaka Jude Bellingham kwenye timu yake
โNi mmoja wa wachezaji BORA zaidi dunianiโ.
12/07/2026
NUSU FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2026
Spain ๐ช๐ธ ๐ France ๐ซ๐ท
Argentina ๐ฆ๐ท ๐ England ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Nani atacheza Fainali?
12/07/2026
FULL TIME โฐ
Argentina ๐ฆ๐ท 3๏ธโฃ โ 1๏ธโฃ Switzerland ๐จ๐ญ
โฝ 10' Mac Allister (๐
ฐ๏ธ Messi)
โฝ๏ธ 67' Ndoye (๐
ฐ๏ธ Rodriguez)
โฝ๏ธ 112' Julian Alvarez (๐
ฐ๏ธ Lopez)
โฝ๏ธ 120+1' Lautaro Martinez
โ
Messi na chama lake wamefuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 na watakutana na England ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ