Je, unawaza nini?
Viwanjani LEO
Pata habari za michezo hapa, ndani na nje ya tanzania 0629676858
01/09/2018
Makundi europe league👇
01/09/2018
Makundi uefa champions league 👇👇👇
22/06/2018
Ratiba ya kombe la dunia 👇👇
16/06/2018
KIKOSI CHA ARGENTINA KINACHOANZA HAPO BAADAE
👇👇👇👇👇
05/05/2018
Yanga inashuka uwanjani kesho kumenyana na SM Arger katika mwendelezo wa kombe shirikisho, mini maoni yako
05/05/2018
MSUVA ALIPOTEMBELEA KAMBINI KWA YANGA ILI KUWAPA MOYO WACHEZAJI
05/05/2018
Kumbe ajibu asilaumiwe
07/03/2018
MNYAMA DHIDI YA WAARABU👇👇
Simba imecheza imecheza mechi 10 katika uwanja wa nyumbani dhidi ya vilabu kutoka Africa ya kaskazini.
Takwimu zinaonyesha HAIJAWAHI KUPOTEZA MCHEZO WOWOTE wa nyumbani dhidi ya timu hizo.
Imecheza mechi 10 imeshinda 9 na kusuluhu mmoja dhidi ya Ismailia.
Lakini Zamarek, All Ahly, Haras hodoud, Es setif, USM EL haras, Al mokaulon, Hodoud na Ismailia waĺifungwa na myama hapa tz.
Sasa leo ni zamu ya Al Masry watatoka ??????.
KILA LA KHERI TANZANIA.👑👑
05/03/2018
"POLE"
05/03/2018
TEGETE AWAPA SOMO YANGA.
Kocha john tegete amewapa majukumu nyota wa yanga, Ibrahim ajibu, Pius buswita na Papy Tshishimbi kuhakikisha wanafunga mabao mengi katika mchezo wa kesho dhidï ya Township Rollers ili kazi iwe rahisi watakapokwenda nchini Botswana.
Mchezo huo wa ligi ya mabingwa wa Africa unatarajiwa kupigwa hapo kesho kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ikiwa ni mechïya kwanza kuwania kucheza hatua ya makundi.
Kocha Tegete amesema k**a yanga wanataka kuwatoa Township wanatakiwa kuwafunga mabao ya kutosha katika mchezo huo ili mpambano wa marudiano wasiwe na kazi nzito ugenïni.
Alisema wachezaji Ajib, Buswita, Mahadhi na Tshishimbi wanatakïwa kupambana kuhakikisha yanga wanapata mabao mengi.
"Huu mchezo ni muhimu kushinda mabao ya kutosha hakuna kingine zaidi ya hicho, washambuliaji wa yanga wanatakiwa kujua hili, K**a wakishindwa kufunga basi wajue kuwatoa hao Township itakuwa ngumu"
Hata hivyo kocha huyo aliwataka yanga wasidharau kabisa wabotswana hao badala yake wanatakiwa kucheza kwa kujituma na nidhamu kubwa uwanjani.
Alïsema katika mchezo wa kesho MASHABIKI wanatakiwa kuwa kitu kimoja kwani yanga wanawakilisha nchi kwahiyo wanatakiwa kuwashangiĺia ili kuwapa hamasa.
"Uzalendo hapa unatakiwa katika huu mchezo kwani yanga wanatuwakilisha sisi watanzania, ule ushabiki wa usimba na uyanga ukae pembeni kwanza sote tuwe kitu kimoja"
MUNGU IBARIKI TANZANIA👑👑
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Magomeni
Dar Es Salam