Sports extra

Sports extra

Share

It's special 4 all type of sports especially football

Photos 10/07/2017

Dooh....kwel..EPL ya msimu unaonekanaa ni mgumu na wenye magoli mengi...kwa timu zoote.....maana ni usajili uliofanyika mkubwa na tishio kwa klabu zoote....xx yangu macho...je usajili uliofanyika utafanya kazi ili kutetea timu zao..........

21/06/2017

Duuhh...nadhani UEFA ya msimu huu haitonogaa kwasababu ya kukosekana timu ambayo huwa kila msimu ipo na kuiwakilixha EPL vyemaa.....xaxa xjui itakuwaje....toa maoni yenu

21/06/2017

Wanachama wa sports extraa.....polen ya kuwa mm kuwa adimu sana kwa ili...ilaa mda huu ntakuwa bega kwa bega...kweny kutoa mchangooo...kwa lolote litakalo tokea katkaa kabumbu....

Photos 07/11/2016

naomba niulize ki2 hivi msimamo utabak hivi au utakuja kubadilika

Photos 04/05/2016

hapo chacha fainal ya watoto wa baba 1 xjui itakuwaje????

Photos 04/05/2016

duuuuhhh!!!!! kwel nmeamin mpira unadunda maana kupiga kote mpira lakn wakaambulia kutoka ila hawa the wametoka kisheria

Photos 04/05/2016

picha la leo kali sana mimi xina meng ya kuongea labda nyie watu wang wa nguvu

28/04/2016

jaman picha ndo k**a linavyoonekana pale UEFA masterlingi wote wamekufa ila katka picha hilo hilo masterling watarud tena kwa nguvu mpya kwa baadh ya watu wao muhimu kurud je masterling watafanikiwa kuwapiga maadui ili waweze kukutana wenywe

namba 1 REALMADRID
namba 2 BAYERN MUNICH

Photos 31/03/2016

Jaman ureno imekuwaje lakn

13/12/2015

Jaman hatua ya makundi uefa ni tayar yashaisha na baadhi ya timu k**a chelsea,man city,arsenal ni pekee za ligi kuu england ndo zmefanikiwa kupita kwa hatua ya 16 bora je watafanikiwa kuiwakilixha hiyo ligi ya england vyema ila tunamtakia kila kheri man united kwa kushindwa kupita katika hatua hiyo!!!!!

28/04/2015

neno langu ni kuwa Yanga ni bingwa

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salam