Simba SC na young Africa

Simba SC na young Africa

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simba SC na young Africa, Sports, TANGA LUSHOTO MNAZI, Dodoma.

08/09/2022

Kila lagheri chama

08/09/2022

Mchambuzi Nguli wa Michezo Shaffih Dauda Kupitia ukurasa wake wa Instagram Aiuliza TFF impatie Majibu Juma Mgunda ni Kocha wa Timu Gani?

"Kwenye hii dunia ya weledi kuna vitu vinafanyika kienyeji na tunahitaji kuvipamba, haiko sawa na haiwezi kuwa sawa hata kidogo, TFF wanapaswa kuliweka sawa hili la Juma Mgunda, Simba na Coastal Union.

Juma ni mwajiriwa wa Coastal Union na ana mkataba nao, kwa maelekezo ya Coastal ni kuwa bado wana mkataba nae na Simba wamesema wazi kuwa ‘wamemwazima’ kwa muda (rejea taarifa yao) mnataka kuliacha hili kuwa lipo sawa? How on earth.

Tafsiri sahihi ni kuwa Juma Mgunda ni Kocha wa Simba na Coastal Union, yani Kocha mmoja kwa timu mbili za Ligi moja ambapo moja inacheza na Police Tanzania Jumamosi na nyingine inacheza na Nyasa kwakuwa zote zinaendeshwa kwa program zake.

Hili lingewezekana endapo Juma angeenda National team kwakuwa hazina mwingilio wa kimaslahi na klabu zote, ila Simba na Coastal Union wote wana mgongano wa kimaslahi hilo halina kificho.

Kwa TFF ambao ndio wenye mpira Tanzania naomba niwaulize, Juma mnamtambua k**a Kocha wa timu gani? Jibu ni Coastal Union sasa ameenda kufanya nini Simba? Na kwanini mpo kimya hamtoi ufafanuzi k**a ni sahihi ama sio sahihi ijapo kiweledi jibu SIO SAHIHI, kwanini tumeamua kukaa kimya?

Ni kweli Simba hawana Kocha Mkuu kwasasa, k**a wanamtaka Juma kwa muda walipaswa kuvunja mkataba wake kwa muda ili kulinda weledi, sasa weledi upo wapi? Mbona tunataka kulichukulia jambo zito kwa njia rahisi?

Ni sahihi Juma ni mzawa na tunapenda wapate nafasi kubwa k**a hizi ila sasa kwa utaratibu upi?? Baada ya haya yote Coastal Union wasimame wapi na Simba wasimame wapi? Inasikitisha sana.

2022 nimeshuhudia Kocha mmoja anafundisha timu mbili za ligi moja, Simba ni ya Tanzania na imeenda kimataifa kupitia ligi hii ambayo Coastal Union yupo, inasikitisha sana! Wala tusiume ume maneno.

FAIR COMPETITIONS

08/09/2022
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Culinary Team

Attire

Telephone

Website

Address


TANGA LUSHOTO MNAZI
Dodoma
21743