Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! George Emmanuell, Elias Mnubi, Shabani Shabani Hamry, Fred Mwanguku, Lucky Leeking, Ifunya Harryson, Barick Mwasile, Joel Kalwana, Bigboy Vester
African Sports
PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA.
27/08/2022
.... Hawa Singida Big stars mbona k**a wamekamia hivi !!! nataka nijue scouting yao nani anayeiongoza maana sio poa π
Nimeenda YouTube huyu Escobar π¦π· ni fundi wa boli aisee !! π
Na wewe nenda youtube kwa kugusa link hapo chini alafu uje tumjadili
https://youtu.be/ZpAjAt6PA28
23/08/2022
Klabu ya Simba SC itacheza mechi tatu{3} za kimataifa za kirafiki mechi hizo Ni dhidi ya
β½ SIMBA SC πΉπΏ π ASANTE KOTOKOπ¬π
π28/08/2022 Sudan π―π΄
β½ALHILAL π―π΄ π SIMBA SCπΉπΏ
π31/08/2022 Sudan π―π΄
β½ SIMBA SC πΉπΏπAS ARTASOLAR π©π―
π03/09/2022 Tanzania πΉπΏ
09/08/2022
Droo ya klabu bingwa barani Africa na kombe la Shirikisho inafanyika leo.
Klabu za Simba, Yanga, Azam na Geita leo zitawajua wapinzani wao ambao watachuana nao katika hatua ya awali
28/06/2022
-Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki raia wa Afrika ya kati mwenye asili ya DR Congo. Manzoki mwenye umri wa miaka 25 amesaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la dola 120,000 (Zaid ya milioni 270 za kitanzania) k**a ada ya usajili na mshahara wa Dola 8000 (zaidi ya milioni 18 za kitanzania) kwa mwezi)
15/06/2022
π¨RASMI: Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πΏπ² Moses Phiri.
βοΈS P O R T N E
13/06/2022
RASMI : Klabu ya Al Ahly Sc imethibitisha kuachana na kocha wao mkuu Pitso Mosimane πΏπ¦
Takwimu zake akiwa na timu hiyo π
Mechi: 97
Kushinda: 65
Kupoteza: 10
Sare: 22
CAF Champions League ππ
CAF Super Cup ππ
Egypt Cup π
Bronze Medal Club World Cup π₯π₯
12/06/2022
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πΏπ² Lazarus Kambole .
Kambole atajiunga na Yanga K**a Mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Kaizer Chiefs πΏπ¦.
Source"'Sport Center"'
24/05/2022
Klabu ya Yanga Sc ipo kwenye mazungumzo na wakala wa winga wa Klabu iyo Farid Musa ili kutaka kumuongezea mkataba mpya mchezaji uyo.
Source"' Tanzania Sport Today"'
13/05/2022
-Klabu ya DTB FC iliyopanda ligi kuu ya NBC imekamilisha usajili wa golikipa wa klabu ya Polisi Tanzania Metacha Mnata kwa mkataba wa miaka miwili. Metacha atajiunga na DTB mwisho wa msimu huu k**a mchezaji huru baada ya mkataba wake na Polisi Tanzania kuisha.
Source"Sport news"
26/04/2022
π¨ Kocha mkuu wa Klabu ya RS Berkane π²π¦ Florent Ibenge π¨π© amepata ajali mbaya ya gari akiwa anaelekea nyumbani akitokea mazoezini amevunjika mara mbili mguuni.
π¨Get well soon ππ
"Source Sport news"
05/04/2022
Klabu ya Yanga SC itawakosa Wachezaji wafuatao Kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Azam FC
ποΈKhalid AuchoπΊπ¬ _ Injury
ποΈFeisal Salum πΉπΏ_ Injury
ποΈFarid M***a πΉπΏ_ Homa
ποΈYanick Bangala π¨π© 50/50_ Alipata majeraha mazoezini.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Address
Dodoma