Wadau wa emirate stadium

Wadau wa emirate stadium

Share

ni ukurasa maalumu Kwa ajili ya taarifa za klabu ya arsenal Kwa lugha ya Kiswahili. wewe nimdau mhimu sana kuweza kufanikisha ukuaji wahuu ukurasa

26/04/2026

Tunaendelea kusalia kileleni

21/12/2025

Tembo tumegoma kuachia usukani

05/06/2025

RASMI: Nuno Tavares amejiunga lazio kwa uhamisho wa kudumu,€9 millioni zimetosha kujiunga na miamba hiyo ya italia.

03/06/2025

TETESI.klabu ya soka ya Barcelona ya nchini hispania imeonesha nia na matamanio ya kupata kandarasi ya kiungo wa arsenal Thomas partey ambaye mkataba wake ukielekea ukingoni , Lakini arsenal nao bado wanajaribu kufanya mazungumzo na raia huyo wa Ghana kuona k**a taendelea kubaki kunako dimba la emirate msimu ujao.

03/06/2025

Usajili wa benjamini sesko kuja arsenal umekuwa ukikosolewa sana na mashabiki,mashabiki wengi wa arsenal wamekuwa tayari kuona straika wa sporting cp ya ureno viktor gyökeres akitua dimba la emirates, kwa ku*ingatia ushupavu na takwimu za straika huyo kwenye msimu juu wa 2024/25 pamoja na gharama yake ya usajili ya €60 millioni huku gharama za benjamini wa rb reipzig ikiwa kati €90-100 million.ila sporting director wa arsenal pamoja na kocha wa arsenal mikael arteta wamekuwa wakivutiwa zaidi na benjamini sesko kutokana na mfumo wa uchezaji wa arsenal .

03/06/2025

Benjamini au viktor?⚪🔴

29/05/2025

Arsenal baada ya kukamilisha usajiri wa martin zubarmend kwa sasa wanahusishwa na umalisho wa julian alvarez kutokea atletico madrid pamoja na gordon kutokea new Castle united.

29/05/2025

Msimu pekee page huwa active ni majira haya ya uhamisho bars I ulaya, karibuni dana wadau wa emirate

18/01/2025

Katika usajili tuliuukubali wana emirates ulikuwa wa huyu jamaa ila kw sass imekuwa tofauti.
majeraha ya enka alioyapata gabriel Jesus yanamuweka nje msimu mzima huu.

26/10/2024
12/06/2024

Tangia uamu*i wa benjamin sesko utoke kubaki na rb leipzig ungetamani nani kumuona na u*i wa arsenal kati ya hawa

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dodoma
0000