Soka Plus

Soka Plus

Share

Pata Habari za Michezo na Burudani Kwa kina Kwa ku-Like Ukurasa Wetu Usipitwe.

Pata Habari za Michezo na Burudani Duniani Kote pamoja na Uchambuzi na Makala za Soka kwa Kina Pamoja na Makala Mbalimbali za Soka Nje na Ndani ya Tanzania Kutoka Kwa Wachambuzi wetu Makini.

Photos 09/02/2020

OFFICIAL | Mechi ya Premier League kati ya Manchester City dhidi ya West Ham siku ya hii leo Jumapili imesitishwa mara moja kwa sababu ya hali mbaya ya hewa... Pia Hali hiyo mbaya imesababisha kusitishwa kwa Mechi tano za Ligi Kuu ya Wanawake hapo Uingereza.

- Everton dhidi ya Liverpool na Arsenal v Spurs ni miongoni mwa mechi tano za Super League za wanawake zilizofutwa kuchezwa leo, pamoja na mbio za farasi huko Exeter, Southwell na Punchestown... Zaidi ya mashabiki 20,000 walitarajiwa kutazama Merseyside Derby kwa Wanawake huko huko Goodison Park.. Mechi nyingine zilizofutwa kupigwa hii leo kwa Wanawake ni Birmingham dhidi ya Brighton, Bristol City v Reading na West Ham v Manchester City.
:
✍🏻 Lakini Sheffield United dhidi ya Bournemouth jioni hii ndio mechi Pekee inayotarajia kupigwa kwenye Muendelezo wa Premier league jioni hii huku kwa Wanawake pia kutapigwa mechi moja tu Wenyeji, Manchester United dhidi ya Wakina Dada hatari wa Chelsea...

Photos 09/02/2020

- Miamba wa Tunisia 🇹🇳, Klabu ya Etoile du Sahel wamemtimua Kocha wao Mkuu, Juan Carlos Garrido kufuatia muenendo mbovu wa Matokeo katika ligi.... Etoile Du Sahel imeweza kupata moja tu kutoka katika michezo mitano iliyopita ya ligi na kuwa na alama 18 nyuma ya vinara wa ligi Espérance de Tunis... Kocha huyo pia ameiongoza klabu hiyo kufuzu Robo Fainali ya Klabu Bingwa Barani Afrika ambapo watavaana dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco.
.
- Baada ya mwanzo mbovu, mechi 14 na pointi zao 20 msimu huu, Etoile du Sahel inaweza kukosa kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Afrika au nafasi ya kushiriki Kombe la Shirikisho kwa mara ya kwanza katika miaka 25... Hivi karibuni mkufunzi huyo wa Uhispania amekuwa akilalamika juu ya jinsi klabu inavyopangilia kulipa Mishahara ya Wachezaji, wanapewa wachache huku wengine wanabakia kuweka mgomo wa kuitumikia Klabu..

- Garrido anatarajiwa kupata karibu $890,000 (Tshs 2B) k**a fidia ya kutimuliwa kwake... Anaendelea kuzivuna Pesa za Miamba wa Soka Afrika kwa kutimuliwa tu pia Raja Casablanca na Al Ahly SC akibeba Kombe la Shirikisho Afrika kila timu kabla ya kufurushwa virago... Pia kapita Al Ain UAE 🇦🇪, AL-Ettifaq 🇸🇦 pia kafundisha Laliga 🇪🇸 Akiwa na Villarreal na Real Betis..

Photos 09/02/2020

- Shirikisho la Soka nchini Rwanda 🇷🇼, limeipiga faini klabu ya Rayon Sports ya Ligi kuu nchini humo kiasi cha 300,000 Rwandan franc na kuwazuia kuandaa au kujihusisha na mechi yoyote ya kirafiki ya Kitaifa au Kimataifa kwa muda wa miezi 12 (Mwaka Mmoja).
:
- Hii imekuja baada ya klabu hiyo kujitoa katika Mashindano ya Kombe la Ubutwari (National Heroes Cup) kwa mwaka huu... Rayon Sports ilijitoa Siku ya Ijumaa ya Januari 25, siku moja tu kabla ya kuanza kwa Mashindano... Pia Klabu hiyo haitoshiriki Michuano ijayo ya mwaka 2021..
:
✋ Rayon Sports ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Nchini Rwanda 🇷🇼, hii leo watashuka dimbani kucheza mchezo wa Raundi ya 19 katika Ligi wakiwa Ugenini dhidi ya Bugesera... Rayon wapo nafasi ya tatu baada ya mechi 18 (38pts), vinara wakiwa ni APR FC na mechi zao 18 bila kupoteza msimu huu (W12, D6) huku nafasi ya pili ni Police FC mechi zao 19 (40pts) - W11, D7, L1.

Photos 09/02/2020

- Cristiano Ronaldo amefunga mabao 2️⃣0️⃣ + katika ligi kwa msimu wa 11 mfululizo.
:
🙌 Amefunga katika michezo 10 mfululizo Katika historia yake ya kucheza Soka Katika Ligi kuu kwa mara ya tatu katika Maisha yake (pia kwa Real Madrid, mnamo 2014 na 2018)

Photos 09/02/2020

🙌 Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji wa 1 Juventus aliyefunga katika michezo 10 mfululizo iliyochezwa na Bianconeri kwenye historia ya Serie A.. 👇 Mechi hizo 10 za Serie A mfululizo:
⚽️ vs. Sassuolo
⚽️ vs. Lazio
⚽️⚽️ vs. Udinese
⚽️ vs. Sampdoria
⚽️⚽️⚽️ vs. Cagliari
⚽️ vs. Roma
⚽️⚽️ vs. Parma
⚽️ vs. Napoli
⚽️⚽️ vs. Fiorentina
⚽️ vs. Hellas Verona
:
🙌 Ni wachezaji watatu tu ambao wamefunga bao katika mechi 10 mfululizo za Serie A katika Historia:

• Gabriel Batistuta (11)
• Ezio Pascutti (10)
• Cristiano Ronaldo (10)

Incredible. 🔥

Photos 09/02/2020

14 - Kipa wa Atletico Madrid, Jan Oblak ameokoa Mashuti 14 kati ya 16 "On target 🎯 " ambayo amekabiliana nayo ndani ya Dimba lao la nyumbani, Wanda Metropolitano katika , pamoja na lile shuti moja tu dhidi ya Granada..
:
🙌 Atletico inashinda 1-0 na wanatoka na clean Sheets, huku yeye Akiwa golikipa, Sasa Oblak amefikisha Clean Sheets 99 katika michezo yake 176 ya na kwa clean Sheets yeyote ijayo, anatarajia kuwa kipa Ambaye kahitaji mechi chache zaidi kufikisha Clean Sheets 100 kwenye historia ya mashindano..

Photos from Soka Plus's post 09/02/2020

RATIBA YA MECHI ZA HII LEO JUMAPILI.
:
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Premier League
17:00 Sheffield United ✌ AFC Bournemouth
19:30 Manchester City ✌ West Ham United

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Championship
16:30 Millwall ✌ West Bromwich Albion

🇪🇸 - LaLiga Santander.
14:00 RCD Espanyol ✌ Mallorca
16:00 Real Sociedad ✌ Athletic Bilbao
18:00 Osasuna ✌ Real Madrid
20:30 Celta Vigo ✌ Sevilla
23:00 Real Betis ✌ Barcelona

🇮🇹 - Serie A
14:30 SPAL ✌ Sassuolo
17:00 Brescia ✌ Udinese
17:00 Genoa ✌ Cagliari
17:00 Napoli ✌ Lecce
20:00 Parma ✌ Lazio
22:45 Inter ✌ Milan

🇩🇪 - Bundesliga
17:30 Borussia Mönchengladbach ✌FC Köln
20:00 FC Bayern München ✌ RasenBallsport Leipzig

🇫🇷 - Ligue 1
17:00 Montpellier ✌ Saint-Etienne
19:00 Strasbourg ✌ Reims
23:00 Paris Saint-Germain ✌ Lyon

🇩🇿 - Ligue 1
18:00 US Biskra ✌ JS Kabylie

🇪🇬 - Premier League
18:00 El Hodood ✌ El Gounah
20:30 Ismaily SC ✌ El Zamalek

🇰🇪 - Premier League
15:00 AFC Leopards ✌ Tusker FC

🇲🇦 - Botola Pro League
20:00 MCO Oujda ✌ Hassania Agadir

🇹🇳 - Ligue I
16:00 AS Slimane ✌ JS Kairouanaise
16:00 Ben Guerdane ✌ Etoile Metlaoui
16:00 CS Sfaxien ✌ US Monastir
16:00 Stade Tunisien ✌ Club Africain
18:00 Esperance ✌ US Tataouin

Photos from Soka Plus's post 09/02/2020

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAMOSI!.
:
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Premier League
FT Everton 3 - 1 Crystal Palace
FT Brighton & Hove Albion 1 - 1 Watford

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Championship
FT Wigan Athletic 1 - 2 Preston North End
FT Barnsley 1 - 1 Sheffield Wednesday
FT Blackburn Rovers 0 - 1 Fulham
FT Brentford 3 - 2 Middlesbrough
FT Huddersfield Town 2 - 0 Queens Park Rangers
FT Luton Town 0 - 1 Cardiff City
FT Reading 1 - 1 Hull City
FT Stoke City 3 - 1 Charlton Athletic
FT Swansea City 2 - 3 Derby County
FT Nottingham Forest 2 - 0 Leeds United

🇪🇸 - LaLiga Santander
FT Levante 2 - 0 Leganes
FT Getafe 3 - 0 Valencia
FT Real Valladolid 1 - 1 Villarreal
FT Atletico Madrid 1 - 0 Granada

🇮🇹 - Serie A
FT Fiorentina 1 - 2 Atalanta
FT Torino 1 - 3 Sampdoria
FT Verona 2 - 1 Juventus

🇩🇪 - Bundesliga
FT Schalke 04 1 - 1 SC Paderborn 07
FT Hertha BSC 1 - 3 Mainz 05
FT Freiburg 1 - 0 Hoffenheim
FT Wolfsburg 1 - 1 Fortuna Düsseldorf
FT Werder Bremen 0 - 2 1. FC Union Berlin
FT Bayer Leverkusen 4 - 3 Borussia Dortmund

🇫🇷 - Ligue 1
FT Marseille 1 - 0 Toulouse
FT Dijon 3 - 3 Nantes
FT Metz 1 - 2 Bordeaux
FT Rennes 0 - 0 Brest
FT Nice 1 - 3 Nimes
FT Amiens 1 - 2 Monaco

🇳🇱 - Eredivisie
FT FC Groningen 1 - 0 Vitesse
FT PSV Eindhoven 3 - 0 Willem II
FT SC Heerenveen 1 - 1 VVV-Venlo
FT RKC Waalwijk 0 - 0 PEC Zwolle

🇧🇪 - First Division A
FT Sporting Charleroi 4 - 0 Zulte Waregem
FT Cercle Brugge 3 - 2 KV Mechelen
FT St.Truiden 5 - 2 Eupen
FT Royal Excel Mouscron 3 - 1 Oostende

🇵🇹 - Primeira Liga
FT FC Porto 3 - 2 Benfica

🇩🇿 - Ligue 1
FT CA Bordj Bou Arreridj 2 - 0 USM Bel Abbes
FT NA Hussein Dey 0 - 3 A*O Chlef
FT NC Magra 1 - 1 CR Belouizdad
FT USM Alger 1 - 3 CS Constantine
FT JS Saoura 2 - 1 AS Ain Mlila
FT MC Oran 1 - 1 ES Setif

🇪🇬 - Premier League
FT Al-Ittihad Al-Sakandary 0 - 1 Aswan FC
FT FC Masr 0 - 1 Smouha SC
FT Misr El-Maqasa 1 - 1 El Entag El Harby

🇰🇪 - Premier League
FT Bandari 1 - 1 Kakamega Homeboyz
FT Nzoia Sugar FC 1 - 1 Ulinzi Stars
FT Wazito FC 2 - 1 Western Stima
FT Chemelil Sugar 2 - 1 Posta Rangers
FT Mathare United 3 - 1 Zoo FC
FT Sofapaka 3 - 1 Gor Mahia

Photos 08/02/2020

🙌 Emre Can leo Alianza katika mechi ya kwanza ya Bundesliga kwa Borussia Dortmund.. Ni mechi yake ya kwanza ya Bundesliga baada ya siku 2100 (Mei 10, 2014) Akiwa na Bayern Leverkusen katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Werder Bremen.
:
Mei 2014: Emre Can alifunga bao lake la mwisho la Bundesliga Akiwa na Bayer Leverkusen.

Februari 2020: Emre Can anafunga bao lake la kwanza la Bundesliga Akiwa na Borussia Dortmund dhidi ya Bayern Leverkusen.

A rocket of a strike. 🚀 🚀

Photos from Soka Plus's post 08/02/2020

20': Leverkusen 1-0 Dortmund⁣
22': Leverkusen 1-1 Dortmund⁣
33': Leverkusen 1-2 Dortmund⁣
43': Leverkusen 2-2 Dortmund⁣
64': Leverkusen 2-3 Dortmund⁣
81': Leverkusen 3-3 Dortmund⁣
82': Leverkusen 4-3 Dortmund⁣
FT: 4⃣ - 3⃣

What a game. 😍; Bayern Leverkusen imefunga Magoli Mawili ndani ya dakika tu wakitoka nyuma kufungwa 3-2 na kushinda mechi kwa 4-3 katika mechi iliyozaa Magoli Saba huko Bundesliga 🙌!.

Photos 08/02/2020

- Christian Benteke amefunga bao lake la kwanza la Premier league tangu Aprili 2019, akimaliza ukame wa michezo 17 na dakika 765 bila kupata goli kwenye Ligi.
:
⚽ Christian Benteke Pia alikuwa akitimiza mechi yake ya 1⃣0⃣0⃣ na Jezi ya Crystal Palace.
📌 Goli la kwanza tangu Aprili 2019 baada ya mechi hizo 17.
📌 Goli la Pili la Ligi katika mechi 35 tangu Mei 2018.
📌 Goli la Sita (6️⃣) ndani ya Premier league anafunga dhidi ya Everton - Kafunga Magoli mengi dhidi ya Sunderland tu (7) katika maisha yake ndani ya Ligi.
📌 😳 Goli la kwanza anafunga Ugenini siku ya Jumamosi tangu 2006.

Photos 08/02/2020

7 - Saba kati ya Magoli Tisa ya ya ligi Aliyofunga Richarlison msimu huu ameifanya kuongoza katika mechi; Ni Marcus Rashford na Tammy Abraham (8 kila mmoja) wamefunga magoli mengi zaidi na kuzifanya timu zao kuongoza mechi mpaka wakati huu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Uyole
Dodoma