Dodoma fitness jogging

Dodoma fitness jogging

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dodoma fitness jogging, Sport & recreation, Dodoma.

19/04/2026

๐Ÿ“Morogoro
Umojafitness Morogoro wanasema maandalizi ya kuelekea One Strong Big Bonanza Season 3, 2026 yanaendelea vizuri.

Wapo tayari kuandika historia katika Hifadhi ya Msitu wa Mbizi, Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa.

Hii si ya kukosa! Karibuni sana wote kushuhudia burudani ya kipee kabisa.


BonanzaSeason3

16/04/2026

ONE STRONG BIG BONANZA SEASON-3 SWAX 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Tukisema hili ni zaidi ya Bonanza huwa tunamaanisha.

TAIFA GAS wanatuletea shindano la mapishi,, wale mahodari wa jiko,, sasa wamefikiwa,, njoo utuonyeshe uhodari wako wa kutawala jiko.

Hatupikii kuni siku iyo,, ni mwendo wa gesi tu,, na sio gesi tu,, ni TAIFA GAS๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ช๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ

Kwa hakika Mbizi Forest Season-2 itakua bab kubwaaa.

Njoo tuinjoy bwana

15/04/2026

It's once again ONE STRONG BIG BONANZA SEASON-3 2026 SWAX ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Huku tukipewa nguvu na MBIZI FOREST SEASON-2๐Ÿ’๐Ÿ‹๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿ”ฅ

Hili si Bonanza tu,, bali ni Festival ya kibabe,, itakua ni mchanganyiko wa burudani, michezo, mambo ya asili na utalii wa ndani, kwa hakika hii ni kubwa kuliko๐ŸŽค๐ŸŽค๐Ÿ’๐Ÿ’

Watoto wa Saburi Teba kutoka Jiji la gharama One Strong(Amka Fitness Club) wanasema Hakuna kulala๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’ช

Kwa hakika,, MBIZI FOREST wanaenda kutuheshimisha, njoo tuinjoy bwanaaa.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dodoma