YANGA on Fire

YANGA on Fire

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YANGA on Fire, Sport & recreation, Dodoma.

16/10/2025

Chezaji la FIFA World Cup๐Ÿ’›๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’š

Nyota wa Klabu ya Young Africans ametoa neno la shukrani kwa mashabiki wake ambao walimuunga mkono kwenye mchezo wake wa timu ya taifa kule nchini Ivory Coast.

"Ningependa kuwashukuru kutoka kwenye kilindi cha moyo wangu watu wote waliokuja kuniunga mkono wakati wa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la Ivory Coast kwenye uwanja wa ร‰bimpรฉ".

"Shukrani nyingi kwa vilabu vyangu mbalimbali na mashabiki huko Azaguiรฉ, Bagnon, na haswa wafuasi wa Yanga, (mwananchi) kwa ujirani wangu wote na bila shaka kwa familia yangu kwa uwepo wenu na kunitia moyo. ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿงก๐Ÿ’š๐Ÿค. Ameandika Pacome Zouzuoa () kupitia mtandao wake wa Instagram.

01/01/2024

Wangapi mmemmiss professor wa boli๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ’›

16/10/2023

Karibu mpenzi na shabiki wa chama kubwa la yanga ujiunge na group hili jipya kabisa Ili uweze kupata habari kemkem za kimichezo kwa muda muhafaka za nje na ndani ya nchi ya Tanzania๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dodoma