Celebrating my 7th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. ππ€π
G News Sports
Sport's News
14/03/2025
β‘οΈTimu zilizofuzu hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup
12/03/2025
β‘οΈShirikisho la mpira wa miguu Africa (CAF) leo machi 12, 2025 limemchagua Patrice Motsepe kuwa rais wa shirikisho hilo.
β‘οΈMotsepe amechaguliwa kuongoza shirikisho hilo, ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika uchaguzi uliofanyika wakati wa mkutano mkuu wa CAF unaoendelea mjini Cairo Misri .
12/03/2025
β‘οΈ kocha wa klabu ya Yanga Miloud Hamdi ameshinda tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi February .
β‘οΈ Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Prince Dube ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi February.
10/03/2025
πHatua ya 32 bora ya michuano ya CRDB FEDERATION CUP kuendelea wiki hii .
Simba Sc ποΈ TMA Stars
Yanga Sc ποΈ Coastal Union
18/02/2025
π Facebook recognised me as a top rising creator this week!
12/02/2025
π Matokeo ya michezo ya play offs UEFA Champions League .
08/02/2025
π¨ ππππππππ: Lucas Vazquez amerudi baada ya jeraha lake na atapatikana dhidi ya Atletico na Man City.
08/02/2025
π¨ ππ
π
πππππ: Al Ahli wamemtenga Roberto Firmino kwenye kikosi cha Saudi Pro League ili kumsajili mchezaji wao mpya wa Januari Galeno! π«
Mbrazil huyo sasa ataweza kucheza Ligi ya Mabingwa ya Asia pekee kwa msimu uliosalia nchini Saudia.
ππ§π· Vilabu kadhaa vinaanza kutafuta saini ya Firmino huku nafasi yake katika klabu ya Al Ahli ikionekana kukamilika.
Mimi GapiRobinho.
08/02/2025
Magazeti ya leo
Naomba mmfollow ππ mwana familia mwenzetu.
GapiRobinho Sport'S π
07/02/2025
β‘οΈTakwimu za Son akiwa na Spurs , kwa kiwango chake na uwezo wake ilibidi awe ametwaa mataji ila kupanga ni kuchagua inasikitisha.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma