Rwenge Daud official

Rwenge Daud official

Share

sport news and updates

18/01/2025

Tatizo lilianzia hapa😊😊

18/01/2025

Former Cape Town Spurs and Chippa United left-back Gadiel Michael Kamagi returned to his home country Tanzanian and signed a three-year deal with his former club Singida Black Stars. 🚨🇹🇿


18/01/2025

Cristevao Pasiencia Mabululu kwenye ligi ya Libya msimu huu;
mechi 6
magoli 7

Rwenge Daud official sport news and updates

17/01/2025

🚨Kocha Vladislav Herić wa Ken Gold FC tayari ameshawasili Mbeya kwa ajili ya kuanza majukumu yake, Kocha Vladislav Herić huku Omary Kapilima akiwa kocha msaidizi


17/01/2025

Mechi za mwisho hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi hii.

17/01/2025

🚨 USAJILI WA KENGOLD DIRISHA DOGO

1. Bernard Morrison
2. Obrey Chirwa
3: Erick Kabamba
4. Fredrick Kalubunga (Vipers)
5. Kelvin Yondani
6. Zawadi Mauya
7. Emmanuel Asante (Namungo)
8. Mubashid Seidu (Ghana)
9. Kyala Lassa (Zambia)
10. Elnest Kwofie (Ghana)
11. Thompson Unachi (Nigeria)
12. Mohamed Yusuph (Dodoma Jiji)
13. Mathias Juviliani
14. Nassir Bofu
15. Abdul Abdulai
16. Maulid Mbegu
17. Sele Bwenzi
18. Joseph Ambokege
19. Ahmed Chambela
20. Sadala Lipangile
21. Sandale Komanje
22. Rojas Gabriel

17/01/2025

: Kocha wa Mc Alger Khalid Benyahya Akizungumza na waandishi wa Habari kuelekea mchezo wao wa siku ya kesho dhidi ya Yanga amesema hana hofu yoyote.

Moja ya swali aliliulizwa Kuwa Je,ana hofu yofu yoyote juu ya kukabiliana na Yanga? Kocha Khalid amejibu kuwa;

"Hofu ya aina gani? Sina hofu na Yanga, ni timu nzuri ila tumejipanga vizuri kucheza nao. Mchezo hautokuwa mwepesi ila inshaAllah tutapata matokeo mazuri".

17/01/2025

Singida Black Stars wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Raia wa Ivory Coast Serge Pokou kutoka Al Hilal Omdurman ya Sudan.

Nyota huyu amekosa nafasi ya kucheza mara kwa mara ndani ya Kikosi Cha Al Hilal hata hivyo huyu ni mshambuliaji wa kiwango Cha juu sana .


10/04/2024

Uefa champions league;
Psg vs barcelona.
Will barcelona stop Mpape tonight?

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dodoma
RWENGE11@ME