Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Sajida Byera, Abdulmajid Kaindoa, Delphina Justinian, Juventus Johnbosco, Kashakara Kashakara, Anida Kihumbi, Hassan Jamal Ramadhan, Kudrath Rashid, Elius Nanze, Alex Paskal, Elly Kilongoz, Emmanuel Kilimu, Salma Haji, Alce Themistocles, Sakhina Sadru, Amos Simion, Elton Benjamin, Revokatusi Denisi, Sadath Yunusu, Brandessi Kakizo Hd, Mustapha Khalid, John Assey, Gi Koloela, Prisca Mjuni, Furaha Helmani, Elivia Philimon, Idani Nshombo, Gerida Beyanga, Aginess Piuss, Frenk Sukariyao, Gody Nicholaus
Bukoba Wahaya MEDIA
habar za michezo na wasanii
11/01/2026
Katoto kamezaliwa kachafuuuu. Kuna watu wakiona huyu mtoto alivyo watakwambia mtoto kazaliwa mchafu. Hapo tena utapewa sababu mbalimbali za mtoto kuzaliwa mchafu. Kuna watakaosema mamake alikuwa anakula vitu fulani ambavyo hakutakiwa kula.
Inayovuma zaidi ni ile ya kusema mama aliendelea kujivinjari na baba k hadi wiki za mwishoni? Hizo zote ni imani potofu!
UKWELI ni kuwa hiyo sio uchafu ni kitu kizuri kwa mtoto. Hiyo inaitwa VERNIX. Ni k**a losheni inayomsiliba mtoto akiwa tumboni tangu mimba ikiwa na wiki 27.
Huwa inaanza kupotea mwilini mwa mtoto kuanzia wiki ya 36 ya mimba, ingawa kuna watoto huwa wanazaliwa nayo. Hasa wale wanaowahi kidogo kuzaliwa.
Kazi yake ni kulinda ngozi ya mtoto akiwa tumboni.
Kunbuka mtoto anazungukwa na maji kipindi chote akiwa tumboni hii vernix inasaidia yale maji yasidhuru ngozi ya mtoto.
Vernix haina uhusiano na chakula wala mama kushiriki na baba tendo.
Iwapo mwanao atazaliwa nayo wala usiwe na wasiwasi, huwa inatoka kirahisi mtoto akiogeshwa au kufutwa ingawa nchi za wenzetu huwa wanaacha mtoto aliyezaliwa hivyo akaekae nayo kwani inaisha yenyewe.
Hamna kitu utakachokula ama utakachofanya mwanao asizaliwe nayo, huwa inatokea tu watoto wengine wanazaliwa nayo.
08/01/2026
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Respikius Bosco, Anes Elizeus, Flaviani Fredrick, Dominick Osward Osw, Joseph Buildings Tz, Johansen Wilbard, Jasmine Shakiru, Shamba Tz, Antia Lucas, Lewina Florian, Saidoth Rwegasila, Amina Ayubu, Shadia Mbotera, Edson Arstedes, Protaz Kazon, Nasra Alinda, John Mpepo, Dory Nzitto, Tinah Saimon, Hamza Daud, Husnath Rugaimukam, Remaria Jackson, Laston Rushoke, Maria Mmbaga
Big shout-out to my newest top fans! James Sebba
24/12/2025
Uwezo Wa Mwanamke Kukuvumilia, Unategemea na Amani Unayo Mpa. Hela Huna, Kitandani Shoo Mbovu, Bado Unampiga Na Kumtukana Dada wa watu, Halafu Unategemea Akuvumilie, Nenda Kamuumbe, wako Ukae Nae Akuvumilie, MUHESHIM Mke wako, Nae atakuvumilia Mwanamke si mtumwa wala chombo cha mateso, ni binadamu mwenye hisia. Heshima huzaa subira, upendo huzaa uvumilivu. Uvumilivu wa mwanamke una mwisho, ukimkosa leo kwa dharau, kesho atakukosa kwa ukimya.. Usimlaumu mwanamke kwa kuchoka, jiulize umefanya nini kumfanya abaki. Mwanamke huvumilia kwa upendo, lakini hudondoka kwa dharau.
20/12/2025
Kwa wale mnaokuja kula christmas vijijini zingatia yafuatayo:
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe.
4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga.
5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas.
6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo.
7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa.
8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza.
9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu.
10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi.
11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu.
12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti.
Asanteni na karibuni sana 🤝🥂ulanzi umesha anza Ihanda
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma