Global sport hub

Global sport hub

Share

Karibu Global Sports Hub! books and paper's

Hapa utapata habari za michezo ya kimataifa kwa haraka na kwa uhakika, ikiwemo usajili wa wachezaji, matokeo ya mechi, ratiba, takwimu, uchambuzi na taarifa muhimu kutoka ligi na mashindano makubwa duniani.

https://globalsportshubtz.blogspot.com/2026/08/yanga-day-2026-wananchi-shalulile.html 09/08/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅ YANGA DAY YAWASHA MOTO! WANANCHI WAKO TAYARI! ๐ŸŸข๐ŸŸก
Leo macho ya mashabiki wa Yanga yako kwenye tukio kubwa la Yanga Day, huku hamasa ikiwa juu na matarajio yakiwa makubwa kuelekea msimu mpya.

โญ Peter Shalulile ni miongoni mwa majina yanayoongeza hamasa kubwa kwa Wananchi, baada ya kujiunga na Yanga. Mshambuliaji huyo amesema historia, mashabiki na utamaduni wa ushindi wa klabu hiyo vilimvutia kujiunga na Yanga.

๐Ÿ”ฅ Lakini Yanga Day ya mwaka huu ina mambo gani makubwa?

๐Ÿ‘€ Kikosi kipya kikoje?

โšฝ Shalulile anatarajiwa kufanya nini?
๐Ÿ† Yanga ina mipango gani kuelekea Champions League?

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ SOMA HABARI KAMILI HAPA:
[https://globalsportshubtz.blogspot.com/2026/08/yanga-day-2026-wananchi-shalulile.html]

๐ŸŸข๐ŸŸก WANANCHI TUKO TAYARI!

๐Ÿ’ฌ Swali: Unatarajia nini kikubwa kutoka Yanga msimu huu?

https://globalsportshubtz.blogspot.com/2026/08/yanga-day-2026-wananchi-shalulile.html

29/07/2026

๐Ÿ”ฅ HABARI KUBWA ZA MICHEZO LEO!

Simba Day: "Nchi Itasimama!" ๐Ÿ”ฅ

Yanga nayo inatajwa kufanya usajili mkubwa, huku taarifa za Shalulile, Pacome na Clement Mzize zikizua maswali mengi.

๐Ÿ’ฐ Je, kweli bilioni 14 zatikisa usajili wa Yanga?

๐Ÿ—ฃ๏ธ Kati ya Simba Day na usajili wa Yanga, ni habari gani imekushangaza zaidi leo?

๐Ÿ‘‡ Comment!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dodoma
512