08/01/2022
Kikosi chetu kimeshafanya mazoezi mepesi ya kuweka miili sawa kbla ya mchezo kuanza ...
FOUNTAIN GATE FC VS GWAMBINA
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fountaingatefc, Sports, Gairo.
08/01/2022
Kikosi chetu kimeshafanya mazoezi mepesi ya kuweka miili sawa kbla ya mchezo kuanza ...
FOUNTAIN GATE FC VS GWAMBINA
08/01/2022
⚽️
Hatimaye siku tuliyoisubiri ya kwenda kuzikusanya pointi tatu imefika salama .
Tunashukuru Mungu tumeamka salama wachezaji wote wapo vizuri , Tunachosubiri ni muda ufike tuende kukuchukua pointi zetu kwa Gwambina .
Tumejipanga vizuri tumefanya mazoezi ya kutosha na hadi sasa tuna imani tunaenda kushinda mchezo huu .
Tunawaheshimu sana Gwambina lakini kwa wakati huu tunazihitaji sana pointi tatu kuliko kitu kingne chochote kwa leo mtatusamehe sanaa tuna jambo zitoo sanaa..........
Mashabiki karibuni sana tuisapoti timu yetu ,
..............