K-sports
Simba Queens Tanzania Leo itafunga
K-sports
sports league ⚽⚽ &
27/11/2025
🚨 Barcelona wana wasiwasi kwa sababu Lamine Yamal amekuwa “adui wa umma namba 1” kwa mashabiki wa timu pinzani kwenye mechi za ugenini. ⚠️‼️
Imejitokeza Stamford Bridge, dhidi ya Brugge, na kwenye Bernabéu, kwa mujibu wa Diario Sport.
27/11/2025
Arsenal inaweza kuchukua UCL, lakini inategemea mambo kadhaa:
Ubora wa kikosi msimu husika
Mikakati ya Arteta kwenye mechi kubwa
Ubora wa washindani k**a Real Madrid, Bayern, Man City n.k.
Mazoezi, afya ya wachezaji na consistency
Arsenal imekuwa timu imara chini ya Arteta, na k**a wataendelea na kiwango chao cha juu, kuongeza wachezaji sahihi na kutokuwa na majeruhi muhimu—wana nafasi nzuri kabisa ya kupambana hadi mwisho.
Kwa kifupi: Inawezekana, lakini wanahitaji kuwa bora sana kwenye hatua za mwisho za mashindano.
27/11/2025
“He will be the top scorer of the UCL and he will also win the Ballon d’Or. He works very hard — let’s pray that Madrid reaches the UCL final.”
Arsenal celebration
27/11/2025
Rice
25/11/2025
Kila nikiwaza aliwahi kuletewa Mtu mezani hii mali kuwa chukua huyu Fundi atasaidia, basi naishia kusonya tu, basi ndio hivyo ishakuwa😀
25/11/2025
➡️ “Tabiri matokeo ya mechi ya Chelsea dhidi ya Barça! 🍿🤹♂️”
25/11/2025
🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rashford amerikava atakuwepo zidi ya CHELSEA. ❤️💙
25/11/2025
“Liverpool FC wanajiandaa kutoa dau la rekodi la €159m kwa mchezaji wa PSG João Neves, kwa mujibu wa Fichajes 😲💰”
25/11/2025
Beki wa simba deruck ni beki bora kwasasa Tanzania akuna k**a yeye
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Address
Geita