JAMES Alex SIMBA

JAMES Alex SIMBA

Share

[email protected] nimshabiki Simba Tanzania � pia nimwanachama ssc pia nikiongozi Simba mkoa wa GEITA ngazi ya wilaya ya GEITA K**a msemaji tawi

17/01/2026
15/05/2025

*TWENZETU FAINALI*
*BENJAMINI MKAPA*

ni fainali ya CAFCC
*SIMBA SC VS RS BERKANE*

NAULI KWENDA NA KURUDI TOKA GEITA
Tshs,100,000=/
Laki mojatuu.
Tuma kwa mhasibu mkoa
+255763316121
GRADYS JOSIAH BURANGWAHE
________________________
Kumbuka kutuma na YAKUTOLEA Ndugu mwana Simba Ukisha tuma nauli
Tupigie

Tuma mapema uwe na UHAKIKA wa safari
Nafasi zilizo baki chache

Lipia sasa mda huuu tumebakiwa siku 7 za mandalizi kabla yakuondoka

Kuondoka ni tare 23-5-2025 saa 10:00 jioni Geita

Tutakuwa na vituo vinne
Vyakuwakuta wana Simba

1-Ofisi ya Simba mkoa shilabela,

2-Na katoro sitendi

3-Ushilombo

4-Na masumbwe

Wote tutakusanyikia maeneo HAYO Kisha safari inaanza,

Hiii TUNABEBA
Simba NGUVU MOJA

27/04/2025

“HATUISHII HAPA”: Ndivyo anavyosema Mnyama Simba akiwa dimba la ugenini leo, akiisaka fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na faida ya goli 1 - 0 alilopata mechi ya kwanza.

Mnyama anahitaji sare au ushindi kutinga fainali.

Mechi hiinitapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

03/11/2024

Hii siku nayo inaenda
Kuisha HIVYO

Vile wana Simba tunaisubili mechi dhidi yetu na Kmc
Ndugu wawili Watumiao uwanja
Mmoja Kmc komplex

27/10/2024

✍️KARIBUNI watanzania Group hili nimali yawatanzania Wote Taarifa zote humu zinapatikana✍️.

Kasoro tarifa za matusi kamavile ngono namatusi mengine yahovyo hayaruhusiwi by,utawara TANZANIA 🇹🇿 MOJA 👏

https://chat.whatsapp.com/L7Cgs3WWlKaHSDF5Ryxkdb

Photos from JAMES Alex SIMBA's post 23/07/2024

Tawi Simba lwamgasa

Aungurumapo simba lwamgasa

Photos from JAMES Alex SIMBA's post 23/07/2024
10/03/2024

Somba somba anana 😂

06/03/2024

Makamanda waleo

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Geita?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Www. Jamesalexsimba. Com
Geita
HAXCH