Jipende sana
Jipe furaha kwa kadiri uwezavyo
Maisha hayarudi nyuma
BOB NDITI
All sports and culture issues
01/06/2025
SportsXtra |
βHawa mashabiki wamenifikirisha sana , ni kweli wanaipambania Singida au wqna jambo lao , Singida inalalamika hawana mashabiki hawa wa leo wametokea wapiβ
Kiemba amerudi nyuma kwenye ripoti za Ripota wa Clouds Singida ambaye aliwahi kuleta ripoti Singida ikilalamika kuwa haina mashabiki na wakazi wa Singida walinukuliwa wakisema hawajui hata zilipo ofisi za klabu hiyo.
Afisa Habari wa Singida United pia kupitia SportsXtra aliwahi kusema hali ni mbaya kiasi ambacho wanaoishabikia timu amewakariri sura
Kwa msingi huo Legend anauliza hawa wanaosema watasusia mechi ni mashabiki wa timu gani ____?
01/06/2025
Baada ya kutuma Barua yetu kwenda kwa Bodi ya Ligi na TFF Hatimaye majibu yametoka
Refaree wa Mchezo wetu Dhidi ya Simba Amefungiwa kusimamia michezo ndani na nje ya Nchi kwa muda wa miezi 3 na Baada ya hapo Tumeshauriana na kamati ya Bodi ya Ligi na Tukakubaliana kwamba Refaree wa Mchezo wetu wa nusu Fainali Dhidi ya Simba Awe ni Ahmed Arajiga HILO TUMEKUBALIWA
jambo la Mwisho na la Muhimu mwambieni huyo Takataka aliyewabeba wale washenzi wazi wazi kupata point Tatu za Dhuluma Hatujamalizana sisi ni people Atakuwa wa Mfano
Tukutane kesho uwanja wa Tanzanite Qwaraa Stadium Babati K**a Itatokea Tumepoteza Mchezo huo Tukapoteza Hakuna Mtu atakayetoka uwanjani salama
Tumemaliza
01/06/2025
Lil Kim
01/06/2025
Pure African Smileππ
29/05/2025
23/06/2024
JUST INπππ
YANGA YANASA SAINI YA HUYU MWAMBA KUTOKA ENYIMBAπππ
RASMI NI KIJANI NA NJANOππππππ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
34
Ifakara
34