Atletico Madrid wamesimamia dau lao la Euro Milioni 60 kumuachia Joao Felix kwenda Chelsea
Cc Ernesto cruz
Beka Maujuz Jr
Report from Beka hapa ntakuletea Habari za michezo ulimwenguni kote inbox uje na faida😎
15/08/2024
🚨 WYDAD CASABLANCA WAKWAMA KWA FEI TOTO
Klabu ya Azam FC imewaambia Wydad Casablanca kuwa nyota wao Feisal Salum hauzwi kwa dau lolote licha ya Wydad kuwataarifu kuwa walikuwa tayari kutoa Bilioni 1.2
Feisal Salum amekuwa na kiwango bora tangu msimu uliopita akifunga mabao 19 na kusaidia mabao mengi kwa klabu yake ya Azam FC kwenye ligi Kuu na kocha Rulani alitoa pendekezo la nyota huyo kusainiwa lakini Azam waliipiga chini mapema.
Katika hatua nyingine klabu hiyo ya Morocco inangoja jibu la Azam FC kuhusu beki wao Yeison Fuentes na mshambuliaji Jhonier raia wa Colombia ili kuona k**a wanaweza kufanikisha sajili zao.
Cc Badman junior
28/03/2024
🚨 AC Milan wanauchukulia mkataba mpya wa Kevin Zeroli kuwa uko karibu, ikiwa ni muda tu kabla ya kusainiwa.
Mazungumzo na wakala wake Rafaela Pimenta yalisababisha makubaliano hayo kwa kanuni wiki mbili zilizopita, kusubiri maelezo ya mwisho
23/03/2024
🇸🇳 Beki wa Akademi ya Barca Mikayil Faye ameanza mechi yake ya kwanza kwa Senegal usiku wa kuamkia leo...✍️
…na alifunga katika mechi yake ya kwanza ya kuichezea timu ya taifa kwa bao zuri akicheza k**a beki wa kati! ✍️
Faye bado hajacheza mechi yake ya kwanza Barca lakini tayari anachezea Senegal✍️
23/03/2024
🗞️ Bukayo Saka sasa amejiondoa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza,
Saka, aliondolewa kwenye mechi za kirafiki za Uingereza wiki moja tu kabla ya mchezo wa Arsenal na Man City kwani
Mtu kainga anga za Bayern Munich uko kapigwa k**a ngoma😃
27/02/2024
🚨 Zinedine Zidane ndiye analengwa na Sir Jim Ratcliffe kuchukua nafasi ya Erik Ten Hag huko Man United,
FULL TIME
Azam FC 2-1 Geita Gold
Syllah ⚽️
Nado ⚽️
29/05/2023
Nilipost 2022 hii vp Hali ya Sasa 2023 ikoje kwa Ositazi😅😄
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Majohe
Ilala