12/02/2025
ππ Nasoma Comments
We give that you deserve
12/02/2025
ππ Nasoma Comments
04/11/2023
African Football League
Mechi ya fainali mkondo wa kwanza kupigwa kesho jumapili kwa Wydad Casablanca kuwakaribisha Mamelodi Sundowns katika dimba la Mohammed V
Msimu uliopita katika nusu fainali ligi ya mabingwa Mamelodi alitolewa na Wydad
Je, Mamelodi atalipa kisasi ama Wydad kuendeleza ubabe?
04/11/2023
Kocha Mamelodi Sundowns, Rhulani Mokwena ameijia juu klabu ya Al Ahly kwa kile alichokitaja k**a "wanalalamikia kila kitu" baada ya Mafarao hao kudai kuwa mwamuzi aliwanyima penalti katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya kombe la Afrika 'AFL'.
Al Ahly ilipoteza kwa matokeo ya jumla ya 1-0 kufuatia kipigo cha 1-0 katika dimba la Loftus Versfeld, Pretoria Afrika Kusini kabla ya sare ya 0-0 kwenye marudiano Cairo. Baada ya mechi hiyo Mafarao hao walimlalamikia Mwamuzi kuwa aliwanyima penalti.
βNashangazwa sana na Al Ahly wanalalamikia kila kitu. Kabla ya mechi ya kwanza, Al Ahly walilalamika kwamba tulicheza saa 9:00 alasiri na bado walikuwa na uwezo wa kurekebisha mchezo kwa wakati unaofaa wakiwa kwao, lakini hautasikia malalamiko kutoka kwa Sundowns."
βKinachoshangaza zaidi ni kwamba Al Ahly huwa wanalalamikia waamuzi pale tu wanapopoteza. Jose Mourinho aliwahi kusema kuwa klabu kubwa inapoanza kutafuta sababu nyingine nje ya soka inaposhindwa basi ndio inaanza kupoteza hadhi yake ya kuwa klabu kubwa. Natumai sivyo ilivyo kwa AL Ahly kwa sababu ni kielelezo cha soka la Afrika."
βBaada ya malalamiko hayo ni nini hasa lengo lao? Kwa sababu ninaweza kupitia orodha ya matukio, ambapo waamuzi hawakufanya kile nilichofikiri ni haki kwetu. Mwishoni mwa mechi, Sundowns ilifanya faulo saba na kupata kadi mbili za njano lakini Al Ahly walifanya faulo 13 na kupata kadi moja ya njano. Nadhani k**a kuna timu ilipaswa kulalamika basi ilitakwa kuwa Sundowns.β alieleza Mokwena.
Sundowns itachuana na Wydad Casablanca katika fainali ambapo mechi ya mkondo wa kwanza wa fainali itapigwa Jumapili Novemba 5, katika dimba Mohammed V, Casablanca kabla ya kurudiana Novemba 12, 2023 katika dimba la Loftus Versfeld, Pretoria Afrika Kusini.
Mshindi wa michuano hiyo mipya kabisa atatia kibindomi kitita cha dola milioni 4, huku mshindi wa pili akitarajiwa kuchukua dola milioni 3.
04/11/2023
π ππ§π’πππ’ π¬π π¦π’ππ πππ‘π πππ¨π ππ
ππ₯ππ‘ππ: Ligue 1
FT Paris SG - Montpellier 3:0
πππ₯π ππ‘: Bundesliga
FT Darmstadt - Bochum 1:2
ππ§πππ¬: Serie A
FT Bologna - Lazio 1:0
π¦π£πππ‘: LaLiga
FT Las Palmas - Atl. Madrid 2:1
ππππππ¨π : Jupiler Pro League
FT St. Truiden - Eupen 1:1
ππ₯ ππ’π‘ππ’: Ligue 1
FT Mazembe - Sanga Balende 2:0
πππ¬π£π§: Premier League
FT Smouha - Al Ittihad 0:1
FT Ceramica Cleopatra - Pyramids 2:0
FT Zamalek - ZED 1:2
ππ‘ππππ‘π: Championship
FT Leicester - Leeds 0:1
π₯πͺππ‘ππ: Premier League
FT Police - Gorilla 1:0
π¦ππ¨ππ ππ₯ππππ: Saudi Professional League
FT Al Fateh - Al Hilal 0:2
FT Al Taee - Al Feiha 3:3
FT Al Shabab - Al Ittihad 1:0
π§ππ‘πππ‘ππ: Ligi Kuu Bara
FT Kinondoni MC - Dodoma Jiji 1:2
FT Mtibwa Sugar - JKT Tanzania 1:2
FT Kagera Sugar - Tanzania Prisons 2:1
π§π¨π₯πππ¬: Super Lig
FT Galatasaray - Kasimpasa 2:1
04/11/2023
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi amesema hana rekodi yoyote ya kuvunja dhidi ya Simba kwani hajawahi kupoteza dhidi ya timu hiyo.
-
Kocha huyo amesema katika mchezo mmoja aliocheza dhidi ya Simba alipata sare lakini wapinzani wake walifaidika kwa changamoto ya mikwaju ya penati kitu ambacho yeye anaaminini alimaliza kazi yake ndani ya dakika 90.
-
Ameongeza kuwa kinachokwenda kutafutwa uwanjani kesho ni heshima ya Klabu ya Yanga na sio ya kocha wa Yanga.
Una maoni usisite kutuandikia
04/11/2023
Hivi ndivyo tulivyolala jana. Wanasimba tiketi zinakatika hizo tufanye kuwahi kununua tiketi ili kesho uwanja ujae nyekundu na nyeupe.
04/11/2023
YANGA YATUPIWA LAWAMA MCHEZO WA SIMBA SC NA YANGA SC
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imesema haipendezwi na tabia ya timu mgeni kwenye Mchezo wa Kariakoo Derby kutoifanyia promo mechi hiyo na kuachia jukumu hilo kwa timu mwenyeji pekee.
Akizungumza na kituo cha Clouds fm radio msemaji wa bodi ya ligi, Karim Boimanda amesema mchezo huo si tu kwa ajili ya mapato ni Mchezo mkubwa Nchini na Afrika mashabiki hivyo vilabu vyote viwili (2) vinapaswa kuipromoti mechi hiyo.
"Hii inatokana na kanuni ya kuwa timu mwenyeji ndio atapata mapato yote ndio maana timu mgeni hafanyi promo, bodi ya ligi hatufurahishwi na jambo hilo tutalifanyia kazi suala hilo. Mechi hii sio tu kwa ajili ya mapato ni mechi ya hadhi ya Nchi"
π£οΈ Karim Boimanda
04/11/2023
βSijawahi kupoteza mchezo dhidi ya Simba, tulitoka suluhu hivyo sina rekodi yoyote ya kuvunja na kitu kikubwa kwangu ni timu kushinda,sio rekodi nimewaandaa wachezaji k**a mechi zingine, mpira ni mchezo wa makosa yule atakayefanya makosa basi ataukuta mpira kwenye wavuβ - GamondI
04/11/2023
βWapinzani wangu wana wachezaji wazuri sana eneo la Kiungo, nami nataka niwazuie wasicheze kutoka eneo hilo, nitachagua wachezaji sahihi wa kazi hiyo, kesho watacheza wachezaji wangu bora eneo hiloβ Coach Robertinho, Simba SC.
10/08/2023
SIMBA SC vs SINGIDA FG: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa ya kwamba Simba SC imewasilisha vibali vya wachezaji 11 wa kigeni huku Singida Fountain Gate ikiwasilisha vibali vya wachezaji 10.
Kinachosubiriwa sasa ni moto kuwasha ndani ya dimba la Mkwakwani Tanga.
Mechi itakuwa LIVE kuanzia saa 1:00 usiku
09/08/2023
Taarifa kwa umma kutoka Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kwenda kwa Vilabu vya Yanga SC, Simba SC na Singida Fountain Gate FC.
Toa maoni yako
22/07/2023
MIQUISSONE ATAMBULISHWA SIMBA SC
kwao