Ruaha Catholic University - RUCU

Ruaha Catholic University - RUCU

Share

This is an Official Page for Ruaha Catholic University -(RUCU) formerly Ruaha University College (RUCO) Nsekela Bankers’ Academy, in the Wilolesi area.

RUCU is conveniently located centrally within Iringa Municipality along Uhuru Avenue on the Great North Road to Dodoma, at what used to be Dr. Amon J. It is at the centre of Iringa Town and has access to the regional government administrative offices, main regional business centres, the main bus terminal and other higher learning institutions, namely Mkwawa University College of Education (MUCE),

03/09/2026

WIKI YA UBUNIFU IRINGA 2026

Kutoka kwenye matarajio hadi maboresho—ubunifu una nguvu ya kubadilisha jamii!

Ruaha Catholic University (RUCU) inashiriki Wiki ya Ubunifu Iringa 2026, inayofanyika tarehe 2–3 Septemba 2026 katika Ukumbi wa AH, Chuoni RUCU.

Kaulimbiu: “Kutoka Kwenye Matarajio Hadi Maboresho.”

Karibu kujifunza, kushirikiana, kubadilishana mawazo na kuona namna ubunifu unavyoweza kuleta mabadiliko yenye tija katika jamii.

Wiki ya Ubunifu Iringa 2026 — Ubunifu Leo, Mabadiliko Kesho.

Photos from Ruaha Catholic University - RUCU's post 29/08/2026

Wanafunzi wa Mufindi Lutheran Girls Secondary School wamefanya Study Tour katika Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU). Wanafunzi hao wamepata fursa ya kujifunza na kujionea mazingira ya RUCU itolewapo elimu ya juu.

WANAFUNZI HAO, wamepatafursa ya kutembelea maabara za kozi za afya, maabara za kozi za kompyuta na maeneo ya kujifunzia. Hakika matembezi hayo yamewapa wanafunzi hao hamasa mpya, mtazamo mpana na msukumo wa kuongeza bidii katika masomo yao.

Kwa RUCU, kila ziara ni fursa ya kuchochea ndoto, kujenga matarajio na kuandaa wanazuoni wa kesho.

Photos from Ruaha Catholic University - RUCU's post 27/08/2026

Master Kiswahili. Elevate Your English. Shape Your Future!
Break language barriers in 2026 with short courses at Ruaha Catholic University (RUCU)! Whether you're an expat adapting to East Africa or a professional refining your career skills, we have a flexible path for you.

Flexible Learning: Online & Face-to-Face Options

Admission: 10,000 TZS

🔗 Apply Now: billing.ac.tz/trainings

📞 Call/WhatsApp: 0718 488 560 | 0688 700 728

25/08/2026

Ruaha Catholic University (RUCU) joins all Muslims in celebrating Eid-el Maulid.

May this special occasion bring peace, love, unity, and blessings to you, your family, and the entire community.

As we celebrate, remember that your journey towards academic excellence and a brighter future can begin at RUCU.

ADMISSION IS NOW OPEN!
Apply now: oas.rucu.ac.tz

16/08/2026

Tunawatakia mafanikio mema katika mitihani yenu Wanafunzi wote wa Programme za Afya.

Mafanikio ya kizazi kimoja hufungua fursa kwa kizazi kingine.

Je, ndoto yako ni kuwa mtaalamu wa afya?
RUCU inakukaribisha!

🎓 Health & Allied Sciences Programmes
📚 2026/2027 | Maombi Yamefunguliwa
🌐 oas.rucu.ac.tz

Anza safari yako ya taaluma na RUCU.

Photos from Ruaha Catholic University - RUCU's post 14/08/2026

RUCU is participating in the 2026 Academy on African Union Law and Public Law of Africa, a two-week international programme organised by the African Institute of International Law (AIIL).

The Academy brings together African scholars, judges, legal practitioners, students, government officials and policymakers to deepen understanding of Africa’s legal frameworks and contemporary legal challenges.

Key areas covered include African Union Law, Peace and Security, Human Rights, Environmental Law, Public Law of Africa, and the African Continental Free Trade Area (AfCFTA).

The programme features lectures and expert sessions delivered by leading African scholars, judges and practitioners, providing participants with opportunities to exchange knowledge, strengthen professional networks and gain practical insights into African legal systems.

For RUCU, participation in the Academy provides an important platform to strengthen its commitment to academic excellence, legal scholarship, research and international collaboration.

The Academy is hosted by the African Institute of International Law, an African institution located near Mount Kilimanjaro, the highest peak in Africa, and dedicated to advancing excellence in education and research in international law.

Through engagements of this nature, RUCU continues to expand its international academic presence and contribute to conversations shaping Africa’s legal and institutional future.

14/08/2026

KARIBU TUKUHUDUMIE!

Unahitaji msaada kuhusu huduma za RUCU?
Tupo kwa ajili yako kila hatua.

Kupitia RUCU Call Centre, unaweza kupata msaada kuhusu:

• Udahili & Maombi ya Chuo
• Ada & Malipo
• HESLB & Mikopo
• Hosteli & Maisha ya Chuo
• Usajili & Huduma za Wanafunzi
• Huduma Nyingine za Jumla

Tupigie sasa:
0699 997 950

Huduma kwa haraka. Msaada kwa urahisi. Tupo kwa ajili yako!

RUCU CALL CENTRE — KARIBU TUKUHUDUMIE.

13/08/2026

RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY(RUCU)

Jiunge nasi kwa mwaka wa masomo 2026/2027 katika ngazi zifuatazo:

• Certificate
• Diploma
• Degree
• Masters &
• PhD

Jenga kesho yako kupitia elimu bora, ujuzi wa vitendo na malezi yenye maadili.

🌐 oas.rucu.ac.tz
📞 0699 997 950

RUCU — Elimu ni Chanzo cha Maisha.

12/08/2026

Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU) kimeendelea kuimarisha uwezo wa wanataaluma wake katika matumizi ya Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI), utafiti, uandishi wa machapisho ya kitaaluma na utambuzi wa fursa za kitaaluma kupitia Academic Research Mentorship Clinic iliyofanyika katika Tovin Hall.

Kliniki hiyo, iliyoandaliwa chini ya RUCU Academic Staff Association (RUCU-ASA), iliwakutanisha wanataaluma wa RUCU kwa lengo la kuwajengea uwezo katika matumizi ya AI k**a nyenzo ya kuboresha ufundishaji, utafiti, uandishi wa mapendekezo ya miradi na ruzuku, pamoja na uchapishaji wa kazi za kitaaluma.

Akizungumza katika ufunguzi wa kliniki hiyo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma (DVCAA) alisisitiza umuhimu wa kuwawezesha wanataaluma kuendana na maendeleo ya teknolojia na kutumia fursa zinazotokana na AI katika kuboresha elimu, utafiti na ubunifu.

Kliniki hiyo ilijikita katika maeneo mbalimbali, yakiwemo utafiti shirikishi wa fani mbalimbali (interdisciplinary research), uandishi wa maombi ya ruzuku, utambuzi wa fursa za ufadhili wa utafiti, pamoja na matumizi ya zana za AI katika kuandaa na kuboresha kazi za kitaaluma.

Mwezeshaji wa kliniki hiyo, Bw. Musa Simon kutoka Johannes Kepler University, Austria, aliwaongoza washiriki katika mada ya AI in Interdisciplinary Research and Grant Writing, akieleza namna AI inavyoweza kutumika kwa ufanisi katika utafiti, uandishi wa proposals na kutafuta fursa za ufadhili.

Aidha, washiriki walipata fursa ya kufanya mazoezi ya vitendo katika kutumia AI kuendeleza mawazo ya utafiti, kuboresha proposals na manuscripts, pamoja na kuandaa maandiko kwa ajili ya uchapishaji katika majarida ya kitaaluma.

Kliniki hiyo pia ilihusisha mada ya Research Writing and Publication, iliyolenga kuwawezesha wanataaluma kuboresha ubora wa maandiko yao na kuongeza uwezo wa kuchapisha katika majarida yenye viwango na athari kubwa (high-impact journals).

RUCU inaamini kuwa AI si mbadala wa mwanataaluma, bali ni nyenzo muhimu ya kuongeza ufanisi, ubunifu na tija inapaswa kutumiwa kwa uadilifu, weledi na uwajibikaji.

04/08/2026

THE WAIT IS OVER!

The 2026/2027 First Round Selection List for Certificate & Diploma Programmes is now available.

Visit www.rucu.ac.tz to view the list of selected applicants and joining instructions.

Congratulations to all successful applicants, and welcome to the RUCU family!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


P. O. Box 774
Iringa
026

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00