11/02/2022
Je Ni team Gani unaiamini. Chagua team ya kuweza kuisapoti na kushangilia.. Haya ndo majina ya Vijana WA Kazi watakao weza kupambana hapo kesho katika viwanja vya KILIMAN PUB. Mikasa itaongeaπ₯π₯π₯π₯
Is one of the best volleyball team in TANZANIA
Deals with Training,Improving skills...
Lets keep the ball flying..
11/02/2022
Je Ni team Gani unaiamini. Chagua team ya kuweza kuisapoti na kushangilia.. Haya ndo majina ya Vijana WA Kazi watakao weza kupambana hapo kesho katika viwanja vya KILIMAN PUB. Mikasa itaongeaπ₯π₯π₯π₯
10/02/2022
Baada ya Ubabe Kutokea kwa watoto WA jirani Sasa Ni zamu ya Magwiji WA volleyball mjini Dodoma. Nani atashinda mechi hii ya Kugamble wanaume wameweka mzigo na kuhakikisha ndani ya uwanja hakuna mpira WA point inapatikana kizembe, Ikumbukwe wachezaji Ni Wanne kila team. π₯π₯π₯π₯ Pick your team to join and celebrate with. π₯π₯π₯
Jumamosi hii tarehe 12/02/2022
Katika viwanja vya kiliman pub.
04/04/2021
Karibuni katika msimu mwingine wa mashindano pendwa ya ONE AFRICA GAMES, ni Mashindano ya wazi yatakayoshirikisha timu mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali ndani ya TANZANIA,
Thibitisha timu yako mapema kuweza kuwekwa kwenye ratiba.
Mashindao yatafanyika iringa katika chuo cha mkwawa,
tarehe 08/05/2021
Sponsored by TOSTI.
12/06/2020
Weekend hii JUMAMOSI katika viwanja vya Chuo cha CBE Dodoma kutakuwa na MECHI YA Volleyball kati ya Mambo POa na CBE karibuni sana wOTE.
06/06/2020
Mechi ya kirafiki kati ya CHAMWINO IKULU na NHIF mechi itafanyika siku ya Jumatano tarehe 10 JUNE 2020,
katika viwanja vya KILIMANI
Karibuni wote.
Kumbuka kunawa mikono yako kwa sabuni na Maji tiririka.
07/02/2018
kwa matukio na picha zaidi like FARU Volleyball CLUB instagram
07/02/2018
FARU VOLLEYBALL CLUB.
kwa matukio na picha mbalimbali kuhusu timu ya faru like page yao FARU Volleyball CLUB
pia instagram wanapatikana kwa
Onyesha upendo ukiwa k**a mwanafamilia ya volleyball nchini..
fuata/follow na penda/like ukarasa/page Nasoro Sharifu Volleyball Accademy kuwapa nguvu watoto na kusambaza habari nzuri kwa jamii...
15/11/2017
picha na matukio zaidi
instagram@NSVA_OFFICIAL
Facebook@NASORO SHARIFU VOLLEYBALL ACADEMY
14/11/2017
Siku k**a ya leo miaka saba mbele itakumbukwa.
Uwakilishi wa Taifa ulipoanza kuandaliwa.
Ni nasoro sharifu Volleyball academy imebeba jukumu la kuwaandaa watoto kuicheza volleyball ya kisasa.
Like na follow instagram kwa maelezo na taarifa juu kitu hicho.
Instagram@nsva_official
FacebookNasoro Sharifu Volleyball Accademy
08/10/2016
08/10/2016
We count Hour to MOSHI...!!!!
More info follow us Instagram