25/12/2017
Dr Slaa Team Winer 2013/2015
Tunatakawi Kuungana kwa Pamoja Kuweza Kusafisha Uchafu wa Mafisadi na Mizizi yao Yote na Kuweza Kuchukua Uongozi wa Juu ili Tuwafundishe Jinsi ya Kuongoza.
Mabingwa wa Mkoa wa Iringa 2017
25/12/2017
21/07/2017
BRAINPOWER CONSULTANCY
UCHAMBUZI WA KUFAHAMU HAIBA -TABIA, UWEZO KITAALUMA, NJIA RAFIKI YA KUJIFUNZA, VIPAJI NA KARAMA ZA MTOTO
Kila binadamu amejaliwa na Muumba wake (MUNGU) uwezo fulani wa kitaaluma, vipaji, na karama ili aweze kuutumia hapa duniani k**a nyenzo katika kuufikia ufalme wa muumba wake.GERVAS BATISTER MGAYA
BPC DIRECTOR
Barua pepe: [email protected],Nambari ya simu :+255768683758, Iringa Mjini
Siri ya Mafanikio ni Kujitambua mwenyewe na kuitumia hiyo fursa kwa nguvu zako zote
20/07/2017
BRAINPOWER CONSULTANCY
UCHAMBUZI WA KUFAHAMU HAIBA -TABIA, UWEZO KITAALUMA, NJIA RAFIKI YA KUJIFUNZA, VIPAJI NA KARAMA ZA MTOTO
Kila binadamu amejaliwa na Muumba wake (MUNGU) uwezo fulani wa kitaaluma, vipaji, na karama ili aweze kuutumia hapa duniani k**a nyenzo katika kuufikia ufalme wa muumba wake.
Hata hivyo, mara nyingi wazazi wengi hushindwa au huchukua muda mrefu wa kubaini uwezo asilia wa mtoto katika eneo fulani. Hali hii hupelekea mtoto au mtu mzima kutotumia kabisa au kuchelewa sana kubaini na kutumia kipaji chake kiasi cha kushindwa kujiletea maendeleo binafsi, ya familia na taifa kwa ujumla. Kimsingi kila binadamu ni mtu maarufu sana ikiwa tu atawezeshwa na kusaidiwa kubaini uwezo wake asilia katika eneo husika ili aweze kuitiisha au kuistaajabisha hii dunia.Mila, tamaduni, desturi , uchumi, siasa, vyombo vya habari(media), kundi rika (peers) na marafiki ni moja ya sababu zinazokwamisha watu kutojua na kutotumia vipaji na uwezo wao asilia. Uwezo wa mtoto huishia kuachwa na kupuzwa na hivyo kufanya mzunguko wa umaskini wa kutupwa (vicious cycle of poverty) kuendelea kushamiri katika kaya, jamii na taifa kwa ujumla.
Inaendelea ukurasa unaofuata
Watoto ni rasiliamali pekee ya familia na taifa kwa ujumla kwani hatima ya taifa letu ipo mikononi mwa watoto wetu. Mzazi yeyote anayeshindwa kuwekeza(Elimu na Nidhamu) kwa mtoto katika eneo lake asilia anatengeneza jamii dhaifu na taifa dhaifu.
Je wajua kuwa fursa ya mafanikio ya mtoto wako inapatikana kwenye haiba yake? Kila mtoto ana karama na vipaji ambavyo vikigundulika mapema vyaweza kuwa ni chachu kubwa ya maendeleo yake binafsi na kwa taifa lake.”Hayupo mtoto duniani ambaye ni “kilaza” yaani mjinga. Kila mtoto anaakili hasa akiwa katika eneo lake analolimudu zaidi kutokana na uasili wake. Huwezi ukamhukumu samaki kwa kushindwa kupanda juu ya mti kwa kuwa sio eneo lake asilia. Vivyo hivyo huwezi kumhukumu nyani kwa kushindwa kuogelea ndani ya bwawa la maji kwa kuwa sio eneo lake asilia.
Hivyo basi hekima ya mzazi na serikali kwa ujumla ni kuwekeza kwa mtoto hasa baada ya kubaini haiba, vipaji na karama za mtoto. Kupitia huduma hii, uchambuzi wa kina wa haiba, na ugunduzi wa vipaji na karama za mtoto utafanyika na mwisho ushauri na ripoti ya kina itatolewa.
BPC inaweza kwa asilimia 85 hadi 95 kubaini haiba- tabia, uwezo wa kitaaluma, njia rafiki ya kujifunza, karama na vipaji vya mtoto kupitia sayansi ya alama za vidole –Dermatoglyphics (the scientific study of fingerprints) na sayansi ya maumbile na kazi za sehemu mbalimbali za ubongo wa binadamu-neuroscience (scientific study of human brain) pamoja na elimu ya tabia za binadamu (psychology), vile vile kupitia tafiti maarufu iliyofanywa na Daktari Howard Gardner ( The eight multiple intelligence) na Carl Jung (the sixteen personalities).
Kuishi na mtoto pasipo kufahamu uwezo wake kitaaluma, karama na vipaji vyake ni sawa na kuchezea kipande cha jiwe pasipokujua kuwa hicho kipande ni dhahabu yenye thamani kubwa inayoweza kubadili hali ya maisha ya familia yako na taifa kwa ujumla.
Karibu sana
Tunapatikana hapa hapa Iringa Mjini kata ya Mivinjeni , katikati ya Msikiti wa Hidaya na Hoteli ya Longoi.
GERVAS BATISTER MGAYA
BPC DIRECTOR
Barua pepe: [email protected],Nambari ya simu :+255768683758, Iringa Mjini
Siri ya Mafanikio ni Kujitambua mwenyewe na kuitumia hiyo fursa kwa nguvu zako zote
Habari yako mtanzania popote ulipo,
Tunaelekea katika kufanya mabadiliko makubwa ya uongozi October 25 nina imani kila mtanzania furaha yake kutoka katika hari mbaya ambayo tunaongozwa na viongozi ambao awana sifa za uongozi,
Mda wa kuwaumbua na mipango yao feki umefika presha zimewapanda,
Watanzania kaeni tayari.
Habari Marafiki,
Bunge la bajeti linaendelea Dodoma ,Watanzania tunatakiwa kufatiria kwa ukaribu kuona serikali ya ccm inavyoshindwa kupanga vitu pamoja na utekelezaji wake kuwa zero,
2015 ni mwaka wa kuandika historia ya nchi hii bila kufatiria mambo utashindwa kufanya maamuzi sahihi october,
Acha wakanyagane wenyewe ila ukawa ushindi upo pale pale,
Tutashinda kwa kishindo Urais,Ubunge na Udiwani,
2015 Mwaka wa Historia hapa nchini.
Nimepata jumbe nyingi kuhusu matatizo ya kupata Pesa za mkopo kwa wanavyuo mbalimbali hapa nchi,
Wanafunzi wanapata shida sana na wengine wamegoma na wengine wanamipango ya kugoma,
Serikali inampango gani!!juu ya wanafunzi hawa pamoja na sekta husika.
Tusitumie pesa nyingi katika vitu ambavyo sio vya msingi na kuacha vitu msingi,
Hoja ya msingi sana ambayo inatakiwa kupata ufumbuzi haraka sana.
Bunge la 2010/2015 ndio linaenda katika vikao vyake vya mwisho ndani ya Bunge baada ya hapo tutapata wabunge wenye ubora wa juu ambao wamepikwa kiuongozi wakiongozwa na Rais bora kutoka Ukawa na kufanya makubwa ndani ya Tanzania 2015/2020,
Tujiandikishe kwa wingi ili tuweze kufanya mabadiliko makubwa.
Mungu ampumzishe kwa amani John Nyerere mahari pema peponi,
Kesho ndio siku ya kumzika butiama,
Nawapa pole wanafamilia wote na watanzania kwa msiba mkubwa ambao umewakuta kipindi hiki.
26/04/2015
Vision Tanzania
Nimefrai sana katika ziara yangu nchini Marekani iliyoandaliwa na umoja wa vyuo vikubwa nchini humo ya kujifunza mambo mbali mbali,
Kubwa ya yote nlichojifunza ni kwamba, serikali inaweza kuwa na ufanisi hata ikiwa na baraza dogo. Jimbo la Alabama lina Mawaziri sita tu, huku CCM ikiwapa walipa kodi wa Tanzania mawaziri 70 wasiokuwa na kazi. Wengi wao wakiwa na matumizi makubwa huku wakina mama wakijifungua sakafuni, walimu wakinyimwa haki zao, polisi na wanajeshi wakiishi hali duni na wanafunzi wakisoma chini ya miembe. CCM ni janga kubwa lililowakumba watanzania.
Nimejifunza mengi sasa tunakuja kutekeleza ili kuleta mabadiliko ta taifa letu ambao rasilimali ni nyingi ila uongozi mbovu.
07/04/2015
Natambua siku k**a ya leo kuna kumbukumbu mbalimbali za watu ambao wametangulia mbele ya haki mungu awalinde na awape makazi mema,
Kumbukumbu ya Sheikh Abeid Karume na Steven Kanumba ambao wametangulia mbele za haki tutawakumbuka sana tuwaombee ndugu zetu
Nawatakia Pasaka Njema watanzania pamoja na Dunia furaha ya pamoja,
Ningependa Tusherehekee kwa pamoja ila utofauti wa ratiba naimani mungu akitupa uzima pasaka ijayo tutakuwa pamoja na marafiki wote,
Tufurahi kwa amani wapendwa.
Habari za Ijumaa kuu,Nawatakia maandalizi mema ya Pasaka na Ijumaa kuu njema,
Nawapenda sana.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
771
Iringa