Chelsea FANS in Tanzania

Chelsea FANS in Tanzania

Share

Habari Mbalimbali Kuhusu Klabu ya Chelsea

07/01/2026

KARIBU LIAM ROSENIOR

Mabingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025, Chelsea, wamethibitisha kumteua Liam Rosenior kuwa kocha wao mkuu mpya kwa mkataba wa miaka mitano na nusu.

Rosenior mwenye umri wa miaka 41 anachukua nafasi ya Enzo Maresca, aliyeiongoza Chelsea kutwaa taji hilo la kihistoria la dunia, ambaye aliondoka klabuni hapo tarehe 1 Januari. Kabla ya kujiunga na Chelsea, Rosenior alikuwa kocha mkuu wa Strasbourg tangu Julai 2024, na awali aliwahi kuzinoa Hull City na Derby County

29/11/2025

Ni vita kali hapo kesho kati ya Caicedo na Rice
Chelsea Football Club vs Arsenal SAA 1:30 Usiku Stamford Bridge

04/02/2025

Chelsea is pleased to announce the signing of Saint-Etienne midfielder, Mathis Amougou. ๐Ÿ’™

Read more: ๐Ÿ‘‰ https://bit.ly/Amougou-signs

04/02/2025

Chelsea forward Joao Felix will spend the remainder of the season on loan at Serie A side AC Milan.

๐Ÿ“ฒ More info: https://bit.ly/Felix-loan

04/02/2025

Chelsea defender Ben Chilwell will spend the remainder of the 2024/25 campaign on loan at Crystal Palace.

Read more: ๐Ÿ‘‰ https://bit.ly/Chilwell-loan

04/02/2025

Win๐Ÿ’™๐Ÿ”ฅ

20/01/2025

Back to winning ways! ๐Ÿ˜

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Iringa