08/08/2025
β οΈ Usisubiri hadi tukio litokee!
Weka CCTV leo na linda familia au biashara yako.
Huduma bora kutoka African Giants Technologies Ltd.
πKahama | π 0757 641 295
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SkyBlue, Kahama.
We Offer Smart Energy & Security Solutions β
Kahama Techline is a professional service company specializing in:
CCTV Installation
Satellite Dish (AzamTV ,DStv etc)
Solar Power Systems
Domestic Electrical Wiring
Electric Fence and,
Gate Motor Installation
08/08/2025
β οΈ Usisubiri hadi tukio litokee!
Weka CCTV leo na linda familia au biashara yako.
Huduma bora kutoka African Giants Technologies Ltd.
πKahama | π 0757 641 295
23/07/2025
11/07/2025
, , , ,
08/07/2025
Remote Original za Dstv zipo ofisini.
, , ,
03/07/2025
Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa ulinzi?
Kutana na timu ya Kahama Techline β tupo tayari kukufungia IP CCTV Camera za kisasa kwa ajili ya usalama wa nyumba au biashara yako!
Tupigie sasa:
0757 641 295 / 0710 841 295
Kahama Techline β Tunakuunganisha na Dunia.
23/06/2025
Soma Caption πππππ
πΉ 1. Uchovu na Uaminifu
Mlinzi anaweza kuchoka, kusinzia au kupuuzia kazi.
Camera haina usingizi wala uchovu β inafanya kazi masaa 24.
---
πΉ 2. Uwezo wa Kurekodi Ushahidi
Mlinzi hawezi kurekodi tukio, anaweza kusahau au kuogopa kusema ukweli.
Camera hurekodi kila tukio la kweli β unaweza kurudia kuangalia tukio lolote.
---
πΉ 3. Gharama za Uendeshaji
Mlinzi analipwa kila mwezi, anahitaji chakula, sare, na malipo ya ziada.
Camera ni gharama ya mara moja tu na matengenezo kidogo.
---
πΉ 4. Ufanisi wa Usiku
Mlinzi anaweza kuona kwa macho tu, uwezo wa kuona gizani ni mdogo.
Camera za kisasa (IP/Night Vision) huona usiku k**a mchana.
---
πΉ 5. Kutumika k**a Kithibitisho Mahak**ani
Mlinzi ushahidi wake unaweza kupingwa.
Camera hutoa video halisi inayoonekana β inadumu k**a kithibitisho cha uhakika.
---
πΉ 6. Wigo wa Ulinzi
Mlinzi anaweza kulinda sehemu moja kwa wakati mmoja tu.
Camera zinaweza kufuatilia maeneo mengi kwa wakati mmoja β ndani na nje.
---
πΉ 7. Huwezi Kudanganywa Kirahisi
Mlinzi anaweza kushawishiwa na wahalifu au kuhongwa.
Camera haina hisia wala upendeleo β hurekodi kila kitu k**a kilivyo.
---
πΉ 8. Remote Monitoring
Mlinzi hawezi kufuatiliwa ukiwa mbali.
Camera unaweza kuangalia kwenye simu popote ulipo duniani (kwa IP camera).
---
πΉ 9. Usalama wa Ndani ya Nyumba/Duka
Mlinzi hawezi kuingia kila chumba au sehemu ya duka.
Camera zinaweza kuwekwa sehemu nyeti k**a ofisi, store, au bedroom ya watoto.
---
πΉ 10. Kuzuia uhalifu kabla haujatokea
Mlinzi anaweza kuingiliwa kwa urahisi bila mtu kujua.
Camera huwatisha wahalifu kwa kuona wapo live, na hukimbia kabla hawajafanya uhalifu.
12/06/2025
Kwa Tips k**a hizi na zaidi tembelea page yetu on Instagram .
Cyber Support, , , , ,
31/05/2025