04/12/2022
Kuna nini leo hapa mjini.
Kocha Mchezaj
Kwa habar za michezo tu
04/12/2022
Kuna nini leo hapa mjini.
Kocha Mchezaj
04/12/2022
π¨ Chama Clatous Ni Mchezajiπ―
----------------------------------------------------
Ninatazamia kukuona ukipiga hela kupitia kwa kushare posti hii kuelekea msimu wa sikukuu. - Gusa fuata na udondoshe maoni useme jambo!
Bonyeza Linkπ??ππ
Tunakuomba mpenzi mfuatiliaji wa k**a unapendezwa na taarifa zetu share posts kwa wenzako kwa magroup ya facebook na WhatsApp.
04/12/2022
π¨ FISTON Mayele kuikosa Prisons leo.
KKocha MchezajMchezaj
04/12/2022
Kocha Mchezaj
04/12/2022
π£οΈMimi Tanzania ningependa kucheza Simba Sc kwa sababu pale Yanga Kuna ndugu zangu Djuma Shabani Fiston Mayele Jesus Moloko natamani nichezee Simba ili nimpe ushindani Mayele
βπΏManeno ya Caser Manzoki wakati yupo Tanzania kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Young Africa's kwenye tamasha la Siku ya mwananchi ambapo Vipers waliibuka na ushindi wa magoli 2-0 siku ya mwananchi wakaitia doa
Huenda Simba Sc wakakamilisha Usajili wa manzoki dirisha dogo Kumbuka Manzoki alitakiwa kutua Simba Sc lakini klabu ya Vipers ya Uganda wakafanya fitna na kuamua kumuuza kwenda nchini π¨π³China kwa mkataba wa miezi sita .
Pia Young Africa's wanahitaji Saini ya Mshambuliaji huyo lakini yeye hayupo tayari kutua Jangwani.
Hata ungekua wewe ukacheze shirikisho wakati Kuna CAF Champions League ukalale Jangwani Kule wakati Simba wapo Kariakoo pale
Powered by KochKocha MchezajeKocha Mchezajlow πππ
04/12/2022
Mnajua ni kwa nini Simba mara zote wamekua wakihaha kuhusu kusajili Kiungo mkabaji?
Ni kwa sababu hawana mtu K**a Khalid Aucho πΊπ¬ pale katikati, na Yanga Eneo la Kiungo linaonekana lipo stable ni kwa sababu ya huyu Mwamba.
Ivi Mnajua Mbadala wa Aucho yanga ni Zawadi Mauya? (mzee wa backpass) Embu imagin Mechi k**a ile ya Tunisia Angecheza Mauya badala ya Aucho.
Naandika Haya kwa sababu Jana baada ya gazeti la mwanaspoti Kuandika tetesi za Aucho kutaka kuondoka yanga na mimi Kupitia Ukurasa wangu hapa niliandika lakini kilichonishangaza ni Comments zenu wananchi wengi mlijibu kwamba muache aende ivi Mpo serious kweli?
Umuache Aucho aondoke Huku mbadala wake akiwa ni Gift utakua na akili kweli? K**a hili litatokea Wananchi mtahaha sana mpaka kuja kupata mbadala wa Aucho pale Yanga nipo nimekaa paleπ
Wito wangu viongozi wa Yanga wakae na Aucho wampe mkataba Mpya, k**a ataondoka basi wawe na Uhakika wa kumpata Bobosi Byaruhanga πΊπ¬
KochaKocha MchezajzKocha Mchezajamchezaj
04/12/2022
βBobosi in...... Okwa outβ
Kiungo wa Vipers BoBoSi rasmi sasa ni Msimbazi! Mwamba huyu kujiunga na Wana Runyasi!
Na Okwa Dirisha dogo ataondoka kupisha usajili huu.
Kocha Mchezaj
03/12/2022
OKWI AITABIRIA UBINGWA SIMBA.
π£οΈAzungumza haya
"Kutokana na uzoefu nilionao juu ya ligi kuu ya Tanzania kwa miaka kadhaa hivi ambayo nilipitia uzoefu huo, kwasasa ni kwamba bado sijaona timu zilizofikia level za Simba Sc na Yanga katika ligi hiyo, ukiniuliza kuhusu ubingwa mwaka huu nitakuambia vilabu vyote vinanafasi yakutwaa ubingwa wa msimu huu NBC, Ila kipaumbele nitakwambia Simba Sc kwasababu nazozijua mimi.
"Kwa kuitazama nafasi ya Simba katika msimamo wa ligi kuu ya Tanzania huwezi kusema tayari wamekwisha poteza ubingwa kwani hata katika misimu tuliokuwa pamoja tulikuwa tukiongoza na kuchukua ubingwa tukitokea katika nafasi k**a hii waliopo sasa hivi, hivyo bado naiona Simba inaenda kuchukua ubingwa msimu huu bila shaka yoyote.
"Lakini pia uwekezaji unaoendelea kufanyika katika klabu ya Simba ni tofauti na vilabu vingine na nina imani kubwa kuelekea dirisha dogo hili watafanya makubwa zaidi kwa kuongeza wachezaji wenye viwango zaidi katika nafasi tofauti tofauti.
"Hivyo kwa kuyasema hayo ni kwamba bado nina mapenzi na klabu ya Simba na naiombea kuendelea kufanya makubwa zaidi na zaidi kwa sababu kwa sifa aliyo nayo hadi sasa hakuna klabu katika ligi ya bongo inayoweza kuishusha sifa hiyo.
KKocha MchezajMKocha Mchezaj
03/12/2022
AUCHO KUONDOKA YANGA.
Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumamosi ya December 3,2022 limeripoti Kuwa Kiungo wa Kimataifa wa Uganda πΊπ¬ na Klabu ya Yanga SC πΉπΏ,Khalid Aucho πΊπ¬ amegoma kuongeza Mkataba Mpya ndani ya Kikosi Cha Yanga na anataka kuondoka Klabuni hapo.
Mkataba wa Aucho πΊπ¬ na Yanga unatamatika Mwishoni mwa Msimu huu na inaelezwa Kuwa Tayari amepata ofa nono kutoka Kwa Moja ya Klabu inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Saudi Arabia.
π€² Mwisho Tunakuomba mdau uliesoma post hii Usiache kutu Follow Page hii
Kocha MchKocha MchezajKocha Mchezaj
02/12/2022
ππ«πππ§π€π’π§π πππ°π¬
Kiungo Wa Yanga raia wa Ghana Bernnard Morrison Ambaye hayupo na kikosi kwa sasa inatajwa kuwa amevunja mkataba na Klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani Dar es salaam
Morrison inatajwa kuwa amevunja mkataba huo ambao ulikuwa umebakia mwaka 1 Na miezi 6
Morrison kwa sasa ni mchezaji Huru na kuna Uwezekano mkubwa Akaendelea kubaki katika Ligi ya Tanzania lakini kwa Sasa hatokuwepo Mjini π
#π
π¨π±π¬π©π¨π«π
02/12/2022
Bobosiβ
β
β
30/11/2022
Simba kuanza na Eagles FC kwenye Kombe la Shirikisho la Azam 2022/23.