20/08/2022
Klabu ya Yanga SC itawakosa Wachezaji wake watatu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union k**a ifuatavyo.
❎ Diarra - Injury
❎ Kambole - Match fitness
❎ Sure boy - Injury
06/08/2022
➤ Alifunga bao katika mechi yake ya kwanza isiyo rasmi akiwa na Bayern Munich.✅
➤ Alifunga bao katika mechi yake ya kwanza akiwa na Bayern Munich.✅
➤ Alifunga bao lake la kwanza katika Bundesliga akiwa na Bayern Munich. ✅
Sadio Mane ni mmoja tu..dunia nzima🙌
https://www.instagram.com/p/Cg5DhaetLPH/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
05/08/2022
📍📍Chelsea wako katika mazungumzo na Emerick Aubamayang kwaajili ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Barcelona 👀
Katika orodha ya wachezaji wanaouzwa dilisha hili na Barcelona Emerick Aubamayang yupo katika orodha hiyo mazungumzo baina ya Chelsea na Aubamayang yameshaanza 👀
Chelsea bado hawajapeleka ofa katika club ya Barcelona kwa Sasa wanashughulikia makubaliano kwanza Kati yao na Aubamayang
Fc barcelona hapa mtazingua endapo mkimuuza hiki kifaa kinatakiwa kucheza Na Lewandosk pale juu✍
03/08/2022
TETESI ZA MASTAA TANZANIA
Na Kastul Elias
Mshambuliaji Nelson Okwa(28) raia wa Nigeria🇳🇬 anatajwa kuingia nchini Tanzania usiku wa leo kukamilisha dili lake la kujiunga na Simba SC 🇹🇿.
Simba SC imepanga kumtambulisha nyota huyo katika kilele cha Simba Day itakayofanyika Agosti 8 mwaka huu.
Baada ya kukaa nchini kwa takribani siku Siku saba sasa, tetesi zinadai wakala wa wachezaji raia wa DR Congo 🇨🇩 Faustine Mukandila anatajwa kumalizana na Yanga SC🇹🇿 juu ya uhamisho wa mchezaji Fabrice Ngoma ambaye mpaka sasa hana timu baada ya kuachana na Wydad AC ya nchini Morocco.
K**a dili litakamilika Ngoma atajiunga na Yanga SC katika dirisha dogo la usajili.
Kocha wa Azam FC, Abdihamid Moallin amesema ana imani na beki kinda wa timu hiyo, Twaribu Nuru(18).
Moallin amesisitiza kuwa Twarib atakuja kuwa beki tegemeo katika kikosi cha Taifa Stars.
Aliyekuwa beki wa Azam FC Nicolas Wadada🇺🇬 amejiunga na Ihefu FC kwa mkataba wa miaka miwili.
Klabu ya Namungo FC imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Pius Buswita🇹🇿 kutoka Ruvu Shooting Stars.
Polisi Tanzania imethibitisha kumsajili mchezaji Idd Kipagwile🇹🇿 kutoka Azam FC.
Ihefu FC🇹🇿 imetangaza kukamilisha usajili wa FC mshambuliaji Never Tigere kutoka Azam FC.
Aliyekuwa golikipa wa Geita Gold FC, Khomein Abubakar amejiunga na Singida Big Stars akitokea Geita Gold FC.
03/08/2022
💥 Klabu ya LIVERPOOL imemuongezea mkataba mchezaji Diogo Jota " sio kumuongezea tu bali imemboreshea mkataba huo mchezaji huyo mwenye miaka 25
📍📍
15/07/2022
𝗦𝗧𝗘𝗣𝗛𝗔𝗡𝗘 𝗔𝗭𝗜𝗭 𝗞𝗜 is now 𝗚𝗥𝗘𝗘𝗡 & 𝗬𝗘𝗟𝗟𝗢𝗪🔰
This is 𝗬𝗢𝗨𝗡𝗚 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗖𝗔𝗡𝗦 𝗦𝗖
Klabu Kubwa, Inasajili Wachezaji Wakubwa Aya Tulale sasa
🥇🏆
21/01/2020
Happy birthday to you ⛷️
🎂🎂🎂
Sarly de layna
07/12/2019
Kila jambo na wakat wake 👆