11/03/2026
Iran haitashiriki Kombe la Dunia la 2026 baada ya Marekani kuandaa mashambulizi ya anga pamoja na Israeli ambayo yalimuua Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei na kusababisha mzozo mkubwa wa kikanda, waziri wa michezo wa nchi hiyo amesena Jumatano hii.
11/03/2026
π Kikosi cha Arsenal kinachoanza dhidi ya Bayern Leverkusen
16/08/2025
π¨ Beki wa Aston Villa Ezri Konsa amekuwa mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu
15/08/2025
π¨ Premier league Leo.
14:30 Newcastle π Aston Villa
17:00 Brighton π Fulham
17:00 Sunderland π West Ham
17:00 Tottenham π Burnley
19:30 Wolves π Man City
15/08/2025
π¨ Mohamed Salah ndiye kinara mwenye magoli mengi zaidi katika mechi ya kwanza ya ufunguzi wa ligu Uingeleza akiwa amefunga mabao (10), akiwazidi nyota wengine waliobaki wenye 8.
15/08/2025
π¨ Premier League
Ft: Liverpool 4-2 Bournemouth
β½οΈ Ekitike. Semenyo β½οΈβ½οΈ
β½οΈ Gakpo
β½οΈ Chiessa
β½οΈ Salah
Liverpool ameendelea pale alipoishia msimu uliopita,.
13/08/2025
π¨ Azam fc imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Jkt Tanzania kwa kufungwa goli 2-1
13/08/2025
π¨ Kikosi cha SimbaSc kimeendelea na mazoezi nchini Misri kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara.
13/08/2025
π¨ Zikiwa zimesalia siku 2 kabla ya Premier League (Epl) kuanza,ni timu gani unaiona inakwenda kuchukua kombe..?
13/08/2025
π¨ Manchester Utd wamethibitisha mshambuliaji wao mpya Benjamin Ε eΕ‘ko atavaa jezi namba 30.